Saturday, October 18, 2014

TASWIRA MBALI MBALI KATIKA MTANANGE WA SIMBA NA YANGA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO

Kiungo wa timu ya Simba,Amri Kiemba akuchuana vikali na Mshambuliaji wa timu ya Yanga,Andrey Coutinho wakati wa mtanange wa watani wa Jadi Yanga na Simba uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.Timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.

No comments: