Monday, September 15, 2014

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), yajipanga kuikabili Ebola

Mganga Mkuu wa Zahanati ya TPA, Dkt. Mkunde Mlay akifungua mafunzo ya namna ya kukabiliana na Ebola kwa Wafanyakazi wa Bandari ya Dar es Salaam wa vitengo vya afya, zimamoto na ulinzi. Mafunzo hayo yalitolewa hivi karibuni bandarini hapo na madaktari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Dkt. Kepha Bernard wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, akiwaonesha Wafanyakazi wa Bandari ya Dar es Salaam namna ya kuvaa mavazi maalumu ya kujikinga na virusi vya Ebola kabla ya kumhudumia mgonjwa.
Dkt. Juma Mfinanga wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, akieleza jambo kwa wafanyakazi wa Bandari ya Dar es Salaam namna ya kukabiliana na Ebola. 
Mfano wa vazi maalumu la kujikinga na maambukizi ya virusi vya Ebola likioneshwa kwa wafanyakazi wa Bandari ya Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Bandari ya Dar es Salaam kutoka vitengo vya afya, zimamoto na ulinzi wakifuatilia mada ya namna ya kujikinga na virusi vya Ebola na kuwahudumia wagonjwa wa Ebola.
Baadhi ya wafanyakazi wa Bandari ya Dar es Salaam wakifuatilia mada ya namna ya kujikinga na virusi vya Ebola na kuwahudumia wagonjwa wa Ebola.

Dkt. Simon Ntabaguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, akieleza kwa wafanyakazi wa Bandari ya Dar es Salaam namna ya kuvaa na kuvua vazi maalumu la kujikinga na maambukizi ya Ebola kwa watumishi wa afya.
Dkt. Juma Mfinanga wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, akieleza kwa wafanyakazi wa Bandari ya Dar es Salaam wa vitengo vya afya, zimamoto namna ya kuvaa na kuvua vazi maalumu la kujikinga na maambukizi ya Ebola wakati wa kutoa huduma kwa mwathirika.
Baadhi ya wafanyakazi wa Bandari ya Dar es Salaam wa vitengo vya afya, zimamoto wakifatilia mada ya namna ya kujikinga na virusi vya Ebola na kuwahudumia wagonjwa wa Ebola.

No comments: