Tuesday, July 29, 2014

Baraza la Eid el Fitri mjini Unguja leo

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake kwa Wananchi na Waislamu katika Baraza la Eid El Fitri lililofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake kwa Wananchi na Waislamu katika Baraza la Eid El Fitri lililofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja
 Baadhi ya Viongozi na wageni mbali waliohudhuria katika sherehe za Baraza la Eid el Fitri wakiangalia na kusikiliza Hotuba iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja
 Baadhi ya Wananchi na Waislamu wasikiliza hotuba iliyotolewa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja,katika kusherehekea Sikukuu yaEid el Fitri
 Wananchi mbali mbali wakiwa katika Ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel Mjini Zanzibar wakati sherehe za Baraza la EId el Fitri lililohutubiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Sheinkatika kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitri baada ya kumalizika kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akiwaongoza wake mbali ,mbali wa Viongozi wa Kitaifa pamoja na wananchi  waliohudhuria katika sherehe za Baraza la Eid el Fitri wakielekea   kupata viburudishaji baada ya kumalizika kwa Hotuba   iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein  katika ukumbi wa Salama Hall Bwawani Mjini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na wake wa Viongozi (pichani) akipena mkono na Mama Fatma Karume,(kulia) akiwepo na Mama Mwanamwema Shein katika viwanja vya ukumbi wa Salama Hall Bwawani Mjini Zanzibar,(wa pili kushoto) Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif HamadPicha na Ramadhan Othman,  Ikulu Zanzibar.

No comments: