Tuesday, May 27, 2014

KAMBI YA MAKAPELA YAPATA PIGO KUBWA NI BAADA YA MDAU ALBERT MUCHURUZA AKA CEO MTL KUIHAMA KWA KISHINDO

Mdau Albert Muchuruza akisaini hati ya ndoa akishuhudiwa na baba paroko na mai waifu wake
Maharusi wakiwa tayari kwenye gari maalum la wazi kwa ajili ya kuanza msafara mjini Bukoba
Msafara wa harusi ukipita ndani ya manispaa ya Bukoba na kusababisha shughuli  kusimama katika mji wa Bukoba
Maharusi wakiwasili ufukwe wa ziwa Victoria eneo la Spice Beach kwa ajili ya kupiga picha
Maharusi wakila pozi
Wapambe wa Bi Harusi wakipozi  wakiwa wamembeba bwana harusi  kuonesha furaha yao
Wapambe wa Bw Harusi wakiwa wamembeba bi harusi
Kutoka kulia ni Mheshimiwa Mr Muchuruza baba mzazi wa bwana harusi akiwa sambamba na mke wake bi Rose Muchuruza wakichukua picha ya pamoja na maharusi
 Maharusi wakiingia ukumbini wakiwa na tabasamu kubwaa
Keki maalum  toka nchini Uganda ilivyokuwa katika harusi
Wasaidii wa matron Bi carean na patron Mr Joseph mbwambo wakiingia ukumbini kwa mbwembwe
Burudani ya ngoma toka Kampala maarufu kwa jina la Mbute ikiburudisha katika harusi
Wasanii Haki na Popo toka jijini Dar es salaam wakitoa burudani ya vichekesho
Msanii Saida Kalori akitoa burudani ya aina yake kufanikisha harusi
 Maharusi wakiingia ukumbini kwa mara ya pili katika vazi maalum lenye asili ya kihindi

 UTARATIBU WA MAVAZI YOTE YA MAHARUSI NA WASAIDIZI WAKE YALIRATIBIWA NA MBUNIFU WA KIMATAIFA MARTIN KADINDA. 
FAMILIA YA MHESHIMIWA MR YUSTO PRADIUS MUCHURUZA NA BI ROSE ISHENGOMA MUCHURUZA INATOA SHUKRANI ZA DHATI KWA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WALIOFANIKISHA HARUSI HII KWA KUJITOA KWAO KWA HALI NA MALI MUNGU AWABARIKI

No comments: