Sunday, April 20, 2014

UZINDUZI WA TAMASHA LA UTALII CUP MTO WA MBU MONDULI

 Vijana wakiwa kwenye maandamano kuelekea shule ya msingi mto wa mbu kwa ajili ya kupanda miti na baadae kuelekea uwanja wa Barafu kuanza tamasha.

 Vijana wakiwa kwenye maandamano kuelekea shule ya msingi mto wa mbu kwaajili ya kupanda miti na baadae kuelekea uwanja wa Barafu kwa ajili ya kuanza tamasha.

 Vijana wakiwa kwenye maandamano kuelekea shule ya msingi mto wa mbu kwaajili ya kupanda miti na baadae kuelekea uwanja wa Barafu kwa ajili ya kuanza tamasha.

  Mkuu wa wilaya ya Monduli MhebJowika Kasunga akimkabidhi nahodha wa timu ya Zion ya Mto wa mbu Said Said kikombe baada ya kuibuka mshindi kwa kuifunga sekondari ya Rift Valley kwa goli 2-0
 Mkuu wa wilaya ya Monduli Jowika Kasunga akimkabidhi zawadi ya Ngao nahodha wa timu ya sekondari ya Rift Valley Hussein Ally
 Mkuu wa Wilaya ya Monduli Jowika Kasunga akikagua timu ya Rift Valley B, iliyocheza na Rift Valley A na kufungwa kwa jumla ya goli 2-0
 Kikundi cha sarakasi cha mto wa mbu kikiburudisha wakati wa uzinduzi wa Tamasha la michezo la Utalii Cup  katika uwanja wa barafu katika eneo la mji mdogo wa Mto wa mbu, wilayani Monduli,Arusha.
Mkuu wa wilaya ya Monduli aliyekuwa mgeni rasmi wa uzinduzi wa tamasha la utalii CUP akipanda mti wa kumbukumbu katika shule ya sekondari ya Mto wa mbu. Picha na Seif Yustus

No comments: