Friday, June 28, 2013

JK AFANYA UKAGUZI WA MWISHO WA MAANDALIZI YA MKUTANO WA SMART PARTNERSHIP UNAOFUNGULIWA LEO JIONI

 Rais Jakaya Kikwete akiwa katika banda la HUAWEI wanakoonesha teknolojia ya kisasa ya TELEPRESENCE ambayo imeshaanza kutumika nchini
 Rais Kikwete akisalimiana na wadau wa IT wa eDucation
 Akiwa katika banda la Malaysia
 Akikagua sehemu ya kukaa viongozi
 mojawapo ya vyumba vya mijadala
 Anaangalia jinsi mkutano utavyokuwa unarushwa Live kwa mitandao
 Akikagua kila sehemu
 Akisoma jarida la Tembo News la benki ya CRDB akiwa na Dr Mihaela Smith, mwandaaji mwenza wa mkutano huo
 Banda la Utalii
 Wanajiolojia
 Akisalimia TPDC
 Akisalimiana na wadau wa NIDA wa vitambulisho vya taifa
















No comments: