Saturday, December 22, 2012

MAHAFALI YA NANE YA SUZA YAFANA

 Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wa fani mbali mbali wakiwa katika maandamano ya sherehe za mahafali ya nane ya  chuo hicho
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa tatu kulia) pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA),pamoja na Viongozi wengine wa Chuo hicho wakiwa katika maandamano hayo
 Wageni Mashuhuri katika mahafali hayo
 Wageni Mashuhuri katika mahafali 
 Baadhi ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakimsikiliza   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) 
 Baadhi ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakimsikiliza   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) 
Wahitimu

 Kofia zavaliwa baada ya kutunukiwa
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) ,akitoa zawadi kwa mwanafunzi bora katika fani ya Cheti cha ukutubu kwa Nyezuma Hassan Juma,katika sherehe za Mahafali ya nane ya Suza,huko katika kampasi ya Tunguu
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) ,akitoa zawadi kwa mwanafunzi bora katika fani ya Cheti cha Teknolojia ya Habari,(IT) kwa Lukuman Mohamed  Bachu,katika sherehe za Mahafali ya nane ya Suza,huko katika kampasi ya Tunguu
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) ,akitoa zawadi kwa mwanafunzi bora katika fani ya Shahada ya Sanaa na Elimu, kwa Sabrina Saidi Rashid
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) ,akitoa zawadi kwa mwanafunzi bora katika masomo ya Elimu Ngazi ya Shahada  Stephen Syepwa
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) ,akitoa hutuba yake baada ya kuwatunuku Vyeti,Shahada na Stashahada,wa fani mbali mbali wahitimi wa Chuo Kikuu cha SUZA,katika sherehe za Mahafali ya nane ya chuo hicho
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) ,akitoa hutuba yake 
 Makamo Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Profisa Idriss Ahmada Rai,akiteta jambo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA),wakati wa Maandamano ya sherehe za mahfali ya nane ya chuo hicho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati)pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA),pamoja na Viongozi wengine wa Chuo hicho wakiwa katika picha ya pamoja na wanataaluma waliohitimu fani mbali mbali,baada ya kutunukiwa Vyeti,Shahada na Stashahada,katika mahfali ya nane yaliyofanyika leo katika kampasi ya Tunguu

No comments: