Thursday, July 19, 2012

matukio mbalimbali ya ajali ya meli iliyozama Chumbe

 Mmoja wa Majeruhi akipata huduma ya Kwanza baada ya kuokolewa akiwa katika bandari ya malindi
 Daktari akitowa huduma ya kwanza kwa mmoja wa majeruhi wa boti iliozama ikiktokea Dar-es-Salaam kuelekea Zanzibar



 Majeruhi wa ajali ya Meli wakiwa katika Hospitali ya Mnazi Mmoja wakipata huduma baada ya kuokolewa.
 Majeruhi wakiwa katika hospitali ya Mnazi Mmoja

Picha ziadi maafa ya meli

Watalii na raia wa kigeni pia walikuwemo katika meli iliyozama hawa ni baadhi ya waliosalimika


Abiria waliookolewa kutoka katika meli iliozama ya Star Gate katika bahari ya Chumbe Zanzibar 
Abiria aliyeokoka kutoka katika meli iliyozama
Abiria aliyookoka katika Meli iliozama ya Star Gate akifarijiwa na Jamaa zake Baada ya kuteremka katika Meli iliowaokoa hapo Bandarini

1 comment:

Anonymous said...

Hii ni miongoni mwa ajali mbaya kwa mwaka ktk usafiri wa majini,wa Tanzania tuzidi kumuomba Mungu atuondolee hili janga ktk secta ya usafiri kwani ndugu zetu wamekufa wengi ktk ajali hii.Pia natoa pole kwa wote walioguswa na mkasa mzito huu tuko pamoja ktk maombolezo haya.Napongeza vyombo vyote vilivyojihusisha na zoezi gumu la uokoji kwani wamefanya kazi ngumu mungu awabariki sana.