Wednesday, May 16, 2012

Wafanyakazi Bora wa Mamlaka ya Bandari (TPA) watembelea mbuga za Wanyama za Manyara, Serengeti na Ngorongoro

Mwenyekiti wa DOWUTA Bandari ya Dar es Salaam Bw. Athman Mkangara akiwa na baadhi ya wafanyakazi bora katika hoteli ya Serena Ngorongoro.
Baadhi ya Wafanyakazi Bora wakifurahia jambo wakati wa mapumziko katika hifadhi ya Serengeti.
Simba Jike akikata kiu ndani ya bonde la Ngorongoro.
Pundamilia wanasifika kwa kila mmoja kuwa na mistari ambayo haifanani katika ngozi zao.
Simba akiwa hoi muda mfupi baada ya kuwinda Nyati katika Mbuga ya Serengeti.
Simba Yuleee.
Timu ya ushindi ikiwa Serena Lodge.
Wafanyakazi na watalii wengine wakimshuhudia Simba mara baada ya kuwinda Nyati katika Mbuga ya Serengeti.
Wafanyakazi wa Bandari Mwanza, Dar Port na Makao Makuu katika picha ya pamoja ndani ya bonde la Ngorongoro.
Wafanyakazi wakichagua vitu vya utamaduni katika bonde la Oldupai Gorge.
Wafanyakazi wakichagua vitu vya utamaduni katika bonde la Oldupai Gorge.
Wafanyakazi wakiwa katika geti la kuingia katika Hifadhi ya Ngorongoro.
Wafanyakazi waliburudika na ngoma za asili kutoka kabila maarufu la Wamasai.
Baadhi ya Wafanyakazi wakimsikiliza mhifadhi wa Bonde la Oldupai Gorge (hayupo pichani) wakati akitoa maelezo kuhusu historia ya bonde hilo.
Mojawapo ya hoteli za kitalii walipofikia Wafanyakazi Bora wa TPA.

No comments: