Monday, April 9, 2012

show ya msanii Roma Usiku wa Pasaka ndani ya Club linas Bukoba

 Wadau wa Globu ya Jamii  katika show ya msanii Roma Usiku wa Pasaka ndani ya Club Linas mjini Bukoba, chini ya Tang Records,bukobawadau blog na Linas night Club
 wadau wakichill ndani ya Linas Night Club wakati wa show
 Wadau wakiwa katika show
 Mashabiki wakimtuza Roma
 Muonekano wa Club linas wakati wa show
 Ma-Deejay kazini
 Mashabiki wakijirusha na ngoma za Roma
 Wadau wakiwa cool
Roma akiwasha moto Club Linas
mdau mc baraka na Roma (shoto) kabla ya show

No comments: