Saturday, April 7, 2012

mazishi ya mpendwa wetu William Billy Msuya leo jijini Dar es salaam

 Mzee Hillary Msuya na familia yake katika mazishi ya mtoto wake William 'Billy' Msuya leo katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam
 Waombolezaji wakiwasili makaburini na mwili wa marehemu
 Jaji Pendo Msuya akiweka udongo kaburini
 Mwakilishi wa Majaji wa Mahakama kuu akiweka udongo kaburini
 Mwakilishi wa marafiki wa familia ya marehemu Mzee Reginald Mengi akiweka udongo kwa niaba yao
Mchungaji akiongoza mazishi
Mdogo wa marehemu katika majonzi
Kaburi likifukiwa
Waombolezaji hawakujali mvua kubwa iliyokuwa inanyesha
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dkt Alex Malasusa akiongoza katika uwekaji mashada ya maua kaburini
Wazazi wa Marehemu wakiweka mashada yao
Mdogo wa marehemu akiweka shada la maua kaburini

Dada wa Marehemu Marsha na Mumewe wakiweka shada lao
Dada wa marehemu akiweka shada lake
mdogo wa marehemu
Dada wa Marehemu
Mwakilishi wa Majaji wa Mahakama Kuu akiweka shada kwa niaba ya wegine
Mzee Reginald Mengi akiweka shada kwa niaba ya marafiki wa familia
Mama wa Askofu Mkuu wa KKKT akiweka shada lake
Dkt Mathayo akisogea kuweka shada
Babu akiweka shada

Kaka akiweka shada
Kaka mkubwa akisoma wasifu wa Marehemu
Mvua iliendelea kunyesha
Askofu Mkuu wa KKKT Dkt Alex Malasusa akiongoza kuweka udongo kaburini
Baba mzazi akiweka udongo kaburini
Jaji Msuya akiweka udongo
Kaka mkubwa akiweka undongo kaburini
Dada akiweka udongo kaburini

1 comment:

Harriette said...

Your Memory will forever live on... we miss you Billy:(