Monday, April 2, 2012

chadema washerehekea ushindi wao wa kiti cha ubunge arumeru mashariki leo

 Mbunge mteule wa jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari akiwasili kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Leganga, ambako kulifanyika mkutano wa kuwashukuru wapiga kura wa jimbo hilo leo
 Mbunge wa Arusha mjini Mh Godbless Lema akiwasili mkutanoni
 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh Freeman Mbowe, akiwashirikisha wananchma na wapenzi wa chama hicho, kuitikia msemo wa ‘Peoples Power’, wakati wa mkutano wa kuwashukuru wapiga kura wa jimbo la Arumeru Mashariki, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Leganga leo.
 Mbunge wa Moshi Mjini Mzee Ndesamburo akihutubia
Mistari: Mbunge wa jimbo la Mbeya Mjini, Mh Joseph Mbilinyi maarufu kama Mr Sugu, akitumbiza wakati wa mkutano wa kuwashukuru wapiga kura wa jimbo la Arumeru Mashariki kwa kumchagua mbunge wa Chadema, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Leganga leo. Picha na mdau Joseph Senga

5 comments:

Anonymous said...

In maths terms:
Peoples' Power >> Political Pary's Power (HOWEVER STRONG THAT PARTY MAY BE)!!!
(nb: The symbol >> means "TRICTLY GREATER THAN")

Anonymous said...

Safiiiiiiiii sana peoples power, we need changes!

Anonymous said...

thats watspp

Anonymous said...

michuzi next time acha upumbavu wenu wa kuibeba ccm mlikuwa mnatunyima taafifa za maendeleo ya uchaguzi mkifikiri watu wataichagua ccm sasa kwa ushauri wangu kwako kuwa muwazi lahasha tunawaangalia wote wanaenda against peoples power siku tukishika dola familia zzenu zi mashakani.inshalah

Anonymous said...

chadema hoyeeeeee kweli peoples powerrrrrr