Wednesday, March 21, 2012

Rais Kikwete aapisha wakuu wa mikoa wa Simiyu, Katavi, Njombe na Geita


 Rais Jakaya Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali, Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda na wakuu wa Mikoa ya Simiyu, Katavi, Njombe na Geita
 Rais Kikwete akiwa na wakuu wa mikoa hao baada ya kuwaapisha. Toka shoto ni  Dkt Rajabu Mtumwa Rutengwe (Katavi), Mh Mgalula Saidi Mgalula (Geita),JK, Kapt Paschal Kulwa Mabiti (Simiyu) na Kapt Asery Msangi (Rukwa)
 Rais Kikwete akiwa na familia ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe Kapt. Asery Msangi
 Rais Kikwete na familia ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Kapt Paschal Kulwa Mabiti
 Rais Kikwete akiwa na familia ya  Mkuu wa Mkoa wa Geita Mh Magalula Saidi Magalula
 Rais Kikwete na Mama Tunu Pinda (wa tatu shoto) na familia ya Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mh Magalula saidi Magalula
 Picha ya Upendeleo kwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi na wananchi wa huko pamoja na viongozi wa Ruvuma
 Rais Kikwete na Waziri Mkuu Mizengo Pinda katika picha ya upendeleo kwa Mkuu wa Mkoa wa Geita Bw Magalula Saidi Magalula na Waziri wa Ujenzi Dkt John Magufuli







No comments: