Monday, March 19, 2012

MAMA SALMA KIKWETE MGENI RASMI KATIKA MAADHIMISHO YA MAULID YA JUMUIYA YA WANAWAKE WA KIISLAM MOROGORO

 Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kiwete akisalimiana na Jumuiya ya Wanawake wa Kiislamu Tanzania  ( JUWAKITA) Mkoani Morogoro Machi 18.2012 alipohudhuria Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW).   yalioandaliwa na jumiya hiyo ya JUWAKITA
 Mke wa Rias na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete(kulia) na Mwenyekiti  Taifa wa JUWAKITA Mama Shamim Khan kwa  pamoja wakifuatilia ratiba katika Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW) katika Chuo cha Kiislam- Morogoro.Maadhimisho hao  yameandaliwa na Jumuiya ya Wanawake wa Kiislam Tanzania (JUWAKITA) mkoa Morogoro



 Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete akiongea na  Jumuiya ya Wanawake wa Kiislam Tanzania (JUWAKITA) kwenye sherehe ya Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad( SAW) Machi 18,2012 katika  Chuo Kikuu cha Kiislam- Morogoro
 Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete akiongea na  Jumuiya ya Wanawake wa Kiislam Tanzania (JUWAKITA) kwenye sherehe ya Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad( SAW) Machi 18,2012 katika  Chuo Kikuu cha Kiislam- Morogoro

 Mwenyekiti Taifa wa Jumuiya ya Wanawake wa Kiiislam Tanzania(JUWAKITA) Mama Shamim Khan akiongea katika Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa mtume Muhammad (SAW) katika Chuo Kikuu cha Kiislam- Morogoro akionyesha rasimu ya kanuni ya  katiba ya Bakwata itakayosambazwa kwa Wanawake wa Kiislaam nchi nzima ili kutoa maoni yao ipate  kuboreshwa na kupelekwa kwa Baraza la Maulamaa na sehemu husika ikikamilika iweze kutumika kisheria.
 Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete (vazi jeupe) akisindikizwa na Mwenyekiti Taifa wa (JUWAKITA) Mama Shamim Khan, (kushoto) ,Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Morogoro na Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Halima Dendegu (wapili kutoka kulia) na  Katibu Tawala Mkoa Morogoro Mgeni Baruwani  baada ya kumaliza sherehe ya Maulid ya  kuadhimisha  kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW)  katika  Chuo Kikuu cha Kiislam- Morogoro
 Wanajumuiya ya Wanawake wa Kiislam Tanzania (JUWAKITA) mkoani Morogoro wakimkaribisha mgeni rasmi Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete hayupo  pichani alipowasili kwenye maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW)
 Wanajumuiya ya Wanawake wa Kiislam Tanzania (JUWAKITA) mkoani Morogoro wakisoma Qasida
 Wanajumuiya ya Wanawake wa Kiislam Tanzania (JUWAKITA) mkoani Morogoro
 Wanajumuiya ya Wanawake wa Kiislam Tanzania (JUWAKITA) mkoani Morogoro
 Wanajumuiya ya Wanawake wa Kiislam Tanzania (JUWAKITA) mkoani Morogoro
Wanajumuiya ya Wanawake wa Kiislam Tanzania (JUWAKITA) mkoani Morogoro.
Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO



No comments: