Sunday, September 11, 2011

VODACOM MISS TANZANIA 2011 NI SALHA ISRAEL

 Vodacom Miss Tanzania,Sarha Israel (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mshindi wa Pili,Tracy Sospeter (kulia) na mshindi wa tatu,Alexia William mara baada ya kutangazwa usiku huu kwenye ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar.
Vodacom Miss Tanzania aliemaliza muda wake,Genavive Mpangala akimvisha taji la ushindi wa Vodacom Miss Tanzania,Salha Israel mara baada ya kutangazwa hivi punde.









































4 comments:

Anonymous said...

nadhani kwa uzuri ni mzuri amestahili mi namuombea kila la heri huko mbele kwente miss world na kuitunza heshima ya taifa la Tanzania na kuipeperusha vema bendera yetu.kila la heri.Salha

Anonymous said...

yaah ni mzuri balaa nimekubali...hongereni majaji mlikuwa na kazi ngumu lakini atlast mmechagua kitu,,,namwombea mungu awe na tabia njema coz yeye ni kioo cha jamii,asante ankal kwa kutupa updates

Anonymous said...

Wadau naomba ufafanuzi wa picha ya 6 toka chini, jamaa vp suruali yake ipo sawa au kuna dosari? Utambulisho wao unahusika.

Anonymous said...

Amependeza na anastahili coz anavigezo vya kutosha