Sunday, June 30, 2013

Minister Membe bids farewell to former Prime Minister of Malaysia

Hon. Bernard K. Membe (MP), Minister for Foreign Affairs and International Co-operation receives Tun Dr Mahathir Mohamad, former Prime Minister of Malaysia, who is also a Commonwealth Partnership for Technology Management (CPTM) Fellow Emeritus and Companion.  Tun Dr. Mohamad has cooperated with a number of African leaders to articulate the aims of the movement in achieving national visions, inclusivity through financial inclusion, quality and standards as well as innovation.   

Tun Dr. Mohamad is received by Mr. Omary Mjenga, Assistant Director of the Department of Asia and Australasia in the Ministry of Foreign Affairs and International Co-operation. 
Hon. Minister Membe (2nd left), walks former Prime Minister of Malaysia Dr. Mahathir Mohamad to the VIP Room at the Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam.   Dr. Mohamad has been participating in the 2013 Global Smart Partnership Dialogue held from June 28, 2013 at the Mwalimu Nyerere Convention Centre in Dar es Salaam.
Hon. Membe in a photo with Tun Dr. Mohamad. 
TUn Dr. Mahathir Mohamad in a discussion with Hon. Membe about Smart Partnership Dialogue and the way forward. 
Tun Dr. Mahathir Mohamad interviewed by local reporters in Dar es Salaam before his departure back to Malaysia.  Dr. Mohamad has been in Tanzania participating at the 2013 Global Smart Partnership Dialogue held at Mwalimu Nyerere Convention Centre in Dar es Salaam from June 28, 2013. 
Tun Dr. Mahathir Mohamad and wife Tun Dr. Siti Hasmah Mohamad Ali listening to reporters while being interviewed at the Julius Nyerere International Airport yesterday in Dar es Salaam. 
Hon. Membe, Dr. Mohamad and Dar es Salaam Regional Commissioner Saidi Meck Sadik exchange views while walking towards a plane that Dr. Mohamad and his beloved wife were going to board to head back to Malaysia. 
Tun Dr. Mahathir Mohamad expresses something to Hon. Minister Bernard K. Membe before his departure back to Malaysia. 

Hon. Membe says goodbye to Tun Dr. Mahathir Mohamad and his beloved wife Tun Dr Siti Hasmah Mohamad Ali.
Hon. Membe says goodbye to Tun Dr Siti Hasmah Mohamad Ali, while  Dar es Salaam Regional Commissioner Saidi Meck Sadik and Mr. Omary Mjenga witnessing the occasion. 
Hon. Membe says goodbye to Tun Dr. Mohamad.
Hon. Bernard K. Membe (MP), Minister for Foreign Affairs and International Co-operation explains something with Dar es Salaam Regional Commissioner Saidi Meck Sadik. All photos by Tagie Daisy Mwakawago of the Ministry of Foreign Affairs and International Co-operation 

Spika wa Bunge la Oman na Ujumbe wake watembelea Hifadhi ya Ngorongoro

Naibu Waziri wa Maliasiri na Utalii Mhe. Lazaro Nyarandu akimpatia briefing Spika wa Bunge la Oman Mhe. Sheihk Khalid Bin Hilal Bin Nasir Al Maalawi kabla ya kuanza kutembelea Hifadhi ya Ngorongoro leo.
Mhe. Nyarandu akimuongoza Spika wa Bunge la Oman Mhe. Sheihk Khalid Bin Hilal Bin Nasir Al Maalawi kuingia lango kuu la Hifadhi ya Ngorongoro leo.
Spika wa Bunge la Oman Mhe. Sheihk Khalid Bin Hilal Bin Nasir Al Maalawi akisaini kitabu cha wageni katika Hifadhi ya Ngorongo. kulia ni Naibu Spika Mhe. Job Ndugai.
Naibu Waziri wa Maliasiri na Utalii Mhe. Lazaro Nyarandu akiongea na waandishi kuhusu ugeni wa Bunge la Oman uliongozwa na Spika wa Bunge lao Mhe. Sheihk Khalid Bin Hilal Bin Nasir Al Maalawi (kushoto) kutembelea Hifadhi ya Ngorongoro leo.
Mhe. Nyarandu akimpatia mgeni zawadi.
Msafara wa Magari yaliobeba ugeni huo kutoka Bunge la Oman ukiwa Ngorongoro.
Mhe. Spika akipata Taswirazz Mbungani.

Mazishi ya Marehemu Mzee Constantine Munishi Kyara mjini Moshi

Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa Marehemu Mzee Constantine Munishi Kyara wakitoa heshima za mwisho kwenye ibada ya mazishi iliyofanyika mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro adre wa Kanisa Katoliki Parokia ya Moshi Mjini, akiongoza ibada ya mazishi ya Marehemu Mzee Constantine Munishi Kyara iliyofanyika eneo la Rau, nje kidogo ya mji wa Moshi, Kilimanjaro juzi.[/caption] [caption id="attachment_34560" align="aligncenter" width="640"] Ibada ya mazishi ikiendelea Ibada ya mazishi ya mzee Kyara[/caption] [caption id="attachment_34565" align="aligncenter" width="640"] Wakishiriki ibada ya mazishi ya marehemu Mke wa Marehemu Mzee Constantine Munishi Kyara, (wa pili kulia waliokaa) akifarijiwa na baadhi ya wajukuu zake, wengine ni ndugu jamaa na marafiki zake wakimfariji Mke wa Marehemu Mzee Constantine Munishi Kyara, (katikati) akiwa kwenye mbada ya mazishi ya mumewe juzi Mtoto wa marehemu mzee Constantine Munishi Kyara, Oscar Munishi (wa kwanza kushoto) ambaye pia ni mfanyakazi wa kampuni ya Simu ya Airtel Tanzania jinini Dar es Salaam wakiwa na mkewe kwenye ibada ya mazishi juzi Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa Marehemu Mzee Constantine Munishi Kyara wakiwa msibani Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa Marehemu Mzee Constantine Munishi Kyara Baadhi ya waombolezaji[/caption] Baadhi ya wajukuu wa marehemu Mzee Constantine Munishi Kyara, wakibeba jeneza la babu yao kuelekea kaburini Baadhi ya wajukuu wa marehemu Mzee Constantine Munishi Kyara, wakisaidiana na baadhi ya waombolezaji kushusha mwili wa babu yao kaburini. [ Mwili wa marehemu Mzee Constantine Munishi Kyara, ukishushwa kaburini Mke wa Marehemu Mzee Constantine Munishi Kyara, (aliyeshika taji) akiweka taji hilo kwenye kaburi la mumewe juzi Mke wa Marehemu Mzee Constantine Munishi Kyara, (aliyeshika taji) akiweka taji hilo kwenye kaburi la mumewe huku akisaidiwa Mtoto wa marehemu mzee Constantine Munishi Kyara, Oscar Munishi ambaye ni mfanyakazi wa Airtel Tanzania Dar es Salaam wakiwa na mkewe wakiweka taji kwenye kaburi baada ya mazishi.[/caption] [caption id="attachment_34574" align="aligncenter" width="640"] Kaburi la marehemu Mzee Constantine Munishi Kyara, kwenye ibada iliyofanyika Rau, Mjini Moshi Mmoja wa mjukuu wa marehemu Mzee Constantine Munishi Kyara, akisoma historia fupi ya babu yake

JK AWAANDALIA MARAIS DHIFA YA KITAIFA YA CHAKULA CHA USIKU

 Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Mfalme wa Swaziland, King Mswati katika hafla ya chakula cha usiku alichokiandaa kwenye viwanja vya Gymkhana, Dar es Salaam jana usiku, kwa waliohudhuria Mdahalo wa Kimataifa wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia kwa Manufaa ya Wote (Global Smart Partinership Dialogue). TBL ni moja kati kampuni zilizofadhli hafla hiyo.
 Mahali palipoandaliwa kwa dina kwenye viwanja vya Gymkhana
 Rais wa zamani wa Msumbiji, Joachim Chisano (kushoto) akikaribishwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernald Membe katika hafla ya chakula cha usiku.
 JK akiwa na Museveni wa Uganda (kushoto), Kingi Mswati wa Swaziland na Mwenyekiti wa IPP, Reginald Mengi
 Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Alnold Kilewo (kushoto), akiwa na Mkurugenzi wa Kiwanda cha Chibuku cha Dar Brew, Kilowi Suma (wa pili kushoto), katika hafla ya chakula cha usiku iliyoandaliwa na Rais Jakaya Kikwete  kwa marais na viongozi mbalimbali waliohudhuria Mdahalo wa Kimataifa wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia kwa Manufaa ya Wote (Global Smart Partinership Dialogue). Kutoka kulia ni Kiongozi wa mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini, Halfan Mpango na Mkurugenzi wa Mfuko wa Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Esther Mkwizu. Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), ni kati ya kampuni zilizofadhili hafla ya chakula hicho.

 Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akihutubia katika hafla hiyo.
 Rais Jakaya Kikwete akiwaongoza baadhi ya marais na viongozi wengine kucheza muziki uliokuwa ukiporomoshwa na kikundi cha sanaa cha Tanzania House of Talent (THT), wakati wa hafla ya chakula cha usiku
 Rais Jakaya Kikwete akiwaongoza baadhi ya marais na viongozi wengine kucheza muziki uliokuwa ukiporomoshwa na kikundi cha sanaa cha Tanzania House of Talent (THT), wakati wa hafla ya chakula cha usiku alichokiandaa viwanja vya Gymkhana, Dar es Salaam jana usiku, kwa marais na viongozi waliohudhuria Mdahalo wa Kimataifa wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia kwa Manufa ya Wote (Global Smart Partinership Dialogue). Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), ilikuwa kati ya kampuni zilizofadhili hafla ya chakula hicho.
 Bendi ya THT ikitumbuiza katika hafla hiyo
 Msanii Mwasiti akipongezwa na Mbunge wa Afrika Mashariki, Adam Kimbisa. Kulia ni Mbunge wa bunge hilo, Shy Rose Bhanji na Abdul Mwinyi ambaye pia ni Mbunge wa Bunge hilo.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA WA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
                                              Kimbisa akiwa na Mwinyi, Bhanji na Richard Kasesera