Sunday, November 6, 2016

Serikali yaipongeza Kampuni ya Mult Choice Tanzania kwa kuanzisha Chaneli inayorusha Filamu zinazotumia lugha ya Kiswahili

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza katika hafla ya maadhimisho ya mwaka mmoja na uzinduzi rasmi wa Chaneli ya Maisha Magic Bongo iliyoambatana na uzinduzi wa filamu za Harusi, Mirindimo ya Pwani, Huba na nyingine  mapema wikiendi hii.
 Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania, Joyce Fissoo akizungumza kwa niaba ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye ambaye alikuwa mgeni rasmi, katika hafla ya maadhimisho ya mwaka mmoja na uzinduzi rasmi wa Chaneli ya Maisha Magic Bongo iliyoambatana na uzinduzi wa filamu za Harusi, Mirindimo ya Pwani, Huba na nyingine  mapema wikiendi hii.
 Mtendaji Mkuu wa Multchoice, Chande Maharage, akizungumza katika hafla ya maadhimisho ya mwaka mmoja na uzinduzi rasmi wa Chaneli ya Maisha Magic Bongo iliyoambatana na uzinduzi wa filamu za Harusi, Mirindimo ya Pwani, Huba na nyingine  mapema wikiendi hii.
 Mkurugenzi Mkuu MNET, Yalisa Phawe akitoa hutuba fupi katika uzinduzi huo. Kulia ni Mkuu wa Chaneli ya Maisha  Magic Bongo, Barbara Kambogi.
 Mkuu wa Chaneli ya Maisha  Magic Bongo, Barbara Kambogi akizungumza kwenye hafla ya maadhimisho ya mwaka mmoja na uzinduzi rasmi wa Chaneli hiyo iliyoambatana na uzinduzi wa filamu za Harusi, Mirindimo ya Pwani, Huba na nyingine  mapema wikiendi hii.
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda akipeana mkono wa pongezi na Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Bw. Innocenty Mungy (kushoto) mara baada ya kumaliza kusoma hotuba wakati wa hafla ya kusherehekea maadhimisho ya mwaka mmoja na uzinduzi rasmi wa Channel ya Maisha Magic Bongo inayopatika kupitia Dstv 160 iliyoambatana na uzinduzi wa Filamu za Harusi, Huba Mirindimo ya Pwani na n.k. Channel hii ni kwa ajili ya kuonyesha filamu na vipindi vinavyotumia rafudhi ya lugha ya Kiswahili.Katikati ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo.
 Baadhi ya wasanii wa Filamu nchini wakifuatilia maadhimisho ya mwaka mmoja wa Channel ya Maisha Magic Bongo ulionda sambamba na uzinduzi wa filamu za Harusi, Mirindimo ya Pwani, Huba na Mzooka.
 
 Baadhi ya wasanii wa Filamu nchini wakifuatilia maadhimisho ya mwaka mmoja wa Channel ya Maisha Magic Bongo ulionda sambamba na uzinduzi wa filamu za Harusi, Mirindimo ya Pwani, Huba na Mzooka. Kulia ni Baraka Shelukindo wa MultiChoice.
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akiwaongoza baadhi ya viongozi wakati akizindua rasmi Chaneli ya Maisha Magic Bongo mapema wikiendi hii,Wa kwanza kulia ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo na wapili ni Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) Simon Mwakifamba.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (katikati) na viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi rasmi wa Chaneli ya Maisha Magic Bongo pamoja na  Filamu na Tamthilia za Kitanzania mapema wikiendi hii.Picha na Frank Shija, MAELEZO.

No comments: