Monday, October 17, 2016

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI


SIMU.TV: Licha ya Waziri mkuu Kassim Majaliwa kupiga marufuku kuendelea kwa shughuli za uvunaji mbao wilayani Rufiji, kamati ya ulinzi wilayani imekamata magogo  yakiwa yametelekezwa; https://youtu.be/dkMLP4O6R3E  

SIMU.TV: Makamu wa Rais Samia Suluhu, amesema serikali inatambua mazingira magumu wanayokumbana nayo watoa huduma za afya hivyo itahakikisha inapeleka fedha kwa wakati;https://youtu.be/qlzJLXFNR7g

SIMU.TV: Mtoto Ifam Mahfudh aliyekuwa kivutio kikubwa katika mitandao ya kijamii akiwa na uwezo mkubwa wa kuyataja majina ya viongozi amefika katika ofisi za TBC na kuonyesha kipaji hiko; https://youtu.be/E1usc-K3DD8

SIMU.TV: Rais Dr John Magufuli, ameongoza maelfu ya waombolezi jijini Dar Es salaam katika mazishi ya aliyewahi kuwa meya wa jiji hilo Dr Didas Masaburi;https://youtu.be/zttdX1TSjGg

SIMU.TV: Kuelekea kutimiza mwaka mmoja tokea Rais Dr John Magufuli atangazwe rasmi kuwa rais wa Tanzania, tunawaletea mfululizo wa baadhi ya matukio muhimu aliyofanya;https://youtu.be/s_JUuFcRl5k

SIMU.TV: Waziri wa viwanda, biashara na uwekezaji Charles Mwijage, amesema serikali itaendelea kuunga mkono viwanda nchini kwa sababu ndio chanzo kikubwa cha ajira;https://youtu.be/-sAHVNb3hkYc

SIMU.TV: Waziri wa viwanda, biashara na uwekezaji Charles Mwijage, amewataka wafanyakazi wa TRA na TBS waliopitisha makontena 100 bila kukaguliwa kujisalimisha haraka; https://youtu.be/vjvaFa8n-t0

SIMU.TV: EWURA imewataka wafanyabiashara wa mafuta nchini kuzingatia sheria na kanuni za biashara hiyo ili kuwapatia wananchi huduma stahiki; https://youtu.be/UoEoq_Ad9v0

SIMU.TV: Serikali pamoja na shirikisho la waamuzi mkoani Tanga wamelaani vikali tukio la kushambuliwa kwa mwamuzi na mashabiki wa timu ya Coastal Union;https://youtu.be/4yBGO9MkA9M

SIMU.TV: Klabu ya Azam imeanza mazoezi kujiandaa na mchezo wake unaofuata wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa na kutamba kuwafunga wakata miwa hao wa Turiani mkoani Morogoro;https://youtu.be/84tLYK9Jo98

SIMU.TV: Waziri mkuu mstaafu Mizengo Pinda amezitaka timu zinazoshindwa katika mashindano mbalimbali kukubali matokeo na kujipanga kwa michezo inayofuata badala ya kufanya vurugu; https://youtu.be/KAQH5ej-AB0

SIMU.TV: Shirikisho la wasanii nchini limepanga kuandaa matamasha mbalimbali kwa kushirikisha wasanii wa ndani na nje kwa lengo la kujitangaza kimataifa;https://youtu.be/cwAB-0-og1Q

No comments: