Tuesday, May 3, 2016

TAASISI YA MUZDALIFA ZANZIBAR YATOA MSAADA WA VYAKULA NA MADAWA WENYE THAMANI YA SH/=MILIONO 10 KWA WAHANGA WA MAFURIKO NA KIPINDUPINDU

Mwenyekiti wa taasisi ya Muzdalifa Shekh Abdalla Hadhar Abdalla akimkabidhi Mchele Afisa msaidizi wa kambi ya wahanga wa mafuriko Makame Khatibu Makame iliopo Skuli ya Mwanakwerekwe C Mjini Zanzibar.
Afisa msaidizi wa Kambi ya Mafuriko iliyopo Skuli ya Mwanakwerekwe C Makame Khatib Makame, akitoa shukrani kwa Mwenyekiti wa Taasisi ya Muzidalifa Shekh Abdalla Hadhar Abdalla kwa msaada waliowatia.
Baadhi ya Misaada mbalimbali iliyotolewa na Taasisi ya Muzdalifa.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Muzdalifa Shekh Abdalla Hadhar Abdalla akimkabidhi Box la dawa Daktari dhamana kanda ya Unguja Fadhili Moh’d, katika Kambi ya kipindupindu iliopo Mtaa wa Chumbuni Zanzibar.
Daktari dhamana kanda ya Unguja Fadhil Moh’d, akitoa shukurani kwa msaada waliopatiwa na Taasisi ya Muzdalifa
Baadhi ya Madawa mbalimbali iliyotolewa.Picha na Abdallah Omar-Maelezo Zanzibar.

No comments: