Sunday, March 6, 2016

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AWAHUTUBIA WANAWAKE KWENYE MAADHIMISHI YA KIMATAIFA YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya TRUMARK Agnes Mgonge alipowasili katika ukumbi wa Kingsolomon Kinondoni jijini Dar es salaam jana jioni March 05,2016 kwa ajili ya kuhudhuria Maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katikati akiwa katika picha ya pamoja Viongozi wa Kampuni ya TRUMARK iliyoandaa sherehe ya maadhimisho ya siku ya Ki,ataifa ya Wanawake Duniani alipowasili katika ukumbi wa Kingsolomon Kinondoni jijini Dar es salaam jana jioni March 05,2016 kwa ajili ya kuhudhuria Maadhimisho hayo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wajasiriamali wa Vikundi vya Vikoba kutoka katika taasisi mbalimbali kwenye maonesho ya maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani yaliyondaliwa na Kampuni ya TRUMARK katika ukumbi wa Kingsolomon Kinondoni jijini Dar es salaam jana jioni March 05,2016.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia Bidha katika maonesho ya Vikundi vya Wajasiriamali wa Vikoba kutoka katika taasisi mbalimbali kwenye maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na Kampuni ya TRUMARK katika ukumbi wa Kingsolomon Kinondoni jijini Dar es salaam jana jioni March 05,2016. kulia Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Khamis Kigwangala.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimtunza msanii wa kikundi cha Barnaba Bibi Patrisha Hilary alipokua akiimba nyimbo ya kusifu siku ya Wanawake Duniani kwenye maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na Kampuni ya TRUMARK katika ukumbi wa Kingsolomon Kinondoni jijini Dar es salaam jana jioni March 05,2016.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia kwenye maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani iliyoandaliwa na Kampuni ya TRUMARK katika ukumbi wa Kingsolomon Kinondoni jijini Dar es salaam jana March 05,2016.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na Wajasiriamali wa Vikundi vya Vikoba kutoka katika taasisi mbalimbali baada ya kuwahutubia kwenye maonesho ya maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na Kampuni ya TRUMARK katika ukumbi wa Kingsolomon Kinondoni jijini Dar es salaam jana jioni March 05,2016 (Picha na OMR)

No comments: