Sunday, February 14, 2016

TASWIRA ZA LADY IN RED 2016 JIJINI LONDON JUMAMOSI

Lady in Red iliyofanyika London maalum kwa siku ya Wapendanao siku ya Jumamosi Februari 13, 2016.
Mama nguli wa mitindo Asya Idarous Khamsini akiwa kwenye zulia jekundu ndani Lady in Red iliyofanyika Jumamosi Februari 13, 2016 jini London Uingereza.
Picha zaidi baadae

No comments: