Sunday, November 29, 2015

SIMU TV: HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI

SIMU.TV: Mkazi wa Ruvuma anashikiliwa na polisi kwa kosa la kuua familia yake na baadaye kujijeruhi shingoni  kwa kusudi la kujiua;  https://youtu.be/3i0OhrkDpOc 
SIMU.TV: Serikali imewasimamisha kazi watumishi watatu wa TRA ambao jana iliambiwa watahamishwa kituo cha kazi na kupelekwa mkoani;https://youtu.be/kyxmE_SGs_w 
SIMU.TV: Polisi Mbeya imekamata kontena moja iliyokuwa ikisafirisha magogo kwenda nchi jirani licha ya dereva wa gari hilo kutoroka; https://youtu.be/s5msIaSNTcI
 SIMU.TV: Taruki imezuka Mvomero Mkoani Morogoro baada wafugaji kufanya uharibifu wa mazao ya wakulima katika mashamba; https://youtu.be/96n6x3yW6qs  
SIMU.TV: Watoto 9,000 wenye zaidi ya miaka 11 warejeshwa shule baada ya kupokea msaada wa mfuko wa kusaidia kaya masikini TASAF; https://youtu.be/igtZZJ_3YmQ 
SIMU.TV: Timu ya Kilimanjaro Stars imetinga hatua ya robo fainali katika mashindano ya Challenge baada ya kutoka sare ya 1 na Ethiopia; https://youtu.be/ACw86urekKA  
SIMU.TV: Mkuu wa shule ya Makongo Maj.Mwangasi amemuomba Waziri mkuu Kassim Majaliwa kuangalia na kuendeleza shule za michezo;https://youtu.be/yBpv6SF7SHs
 SIMU.TV: Kocha Luis Enrique wa Barcelona amesema ataongeza nguvu ya usajili katika timu yake na kuwa wanajipanga kutetea nafasi yao ya ubingwa ulaya;https://youtu.be/EHONzqeWag8 
SIMU.TV :Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa amewahakikishia walimu kwamba serikali ya wamau ya 5 itatatua kero za maslahi yao katika kazi; https://youtu.be/ab1Mje8toII
 SIMU.TV: Aliyekuwa kipa wa timu ya Simba Ivo Mapunda ameanza rasmi mazoezi na timu ya AZAM FC huku akisubiri kusajiliwaHTTPS://YOUTU.BE/Y-MCT6OV35Q 
SIMU.TV: Mwili wa aliekuwa mwenyekiti wa Chadema mkoani Geita Alphonce Mawazo, ameagwa leo katika viwanja vya Furahisha mkoani Mwanza:https://youtu.be/pZDZe2NkDOE 
SIMU.TV : SUMATRA imewaomba madereva kutopandisha nauli kiholela hasa katika kipindi hiki cha msimu wa sikukuu za christmass na mwaka mpya:https://youtu.be/sGAKMDVpfSs 
SIMU.TV: Mpiga danadana maarufu nchini Tanzania Azara Charles  afanyiwa vitendo vya kikatili  kutokana na matatizo ya kifamilia: https://youtu.be/C5W43aKIN38 
SIMU.TV: Kiongozi wa Kanisa katoliki Papa Fransis akiendelea na ziara yake nchini Uganda amesisitiza kuwasaidia wenye mahitaji na sio kuwagandamiza:https://youtu.be/iS9p3ICDTQI

No comments: