Monday, August 24, 2015

MUZIKI MNENE BANGO MBEZI

Bwana E Mr Jimmy Jiam akiwa na swaga za hali ya juu wakati anampa zawadi  mshindi wa EFM Muziki Mnene Bango baada yakuona kuwa ameweka stika kwenye eneo lake la biashara  eneo la Mbezi Jijini Dar es salaam. 
 Mshindi mwingine wa EFM Muziki Mnene Bango na washabiki wa EFM wakipozi kidogo na kupiga picha na bwana E Mr Jimmy Jiam. Mshindi huyo alikuwa ameweka stika ya EFM kwenye taksi  yake alikabidhiwa zawadi yake na bwana E.
 Bwana E akipozi na mashabiki wa EFM. mashabiki hao walikutwa wanasikiliza 97.3 EFM na wakamjulisha bwana E jinsi wanavyo ipenda EFM na ndio hapo wakapewa zawadi za t-shirt za EFM.
 Hata kwa mama lishe kunahusika sana, Mr. E akimkabidhi  zawadi dada huyo kama anavyoonekana amebandika stika ya EFM sehemu yake ya biashara ya chakula.

No comments: