Thursday, August 27, 2015

MGOMBEA URAIS MWENZA WA CCM BI. SAMIA SULUHU HASSAN ALITIKISA JIJI LA ARUSHA

mgombea mwenza wa nafasi ya urais  Bi. Samia Suluhu akiwa anawahutubia wananchi wa mkoa wa Arusha katika viwanja vya Samunge vilivyopo jijini hapa
 wananchi waliouthuria katika mkutano huo hii leo
 mgombea mwenza wa nafasi ya urais akiwa anacheza ngoma  iliyokuwa inapigwa na wamama wa chama cha mapinduzi waliouthuria mkutano huo





 Baadhi ya  makada wa CCM  ambao wamewahi kugombea nafasi ya ubunge wa jimbo la Arusha mjini na kushidwa kutokana na kura kutotosha wakiwa ndani ya mkutano huo







mgombea mwenza wa nafasi ya urais  Bi. Samia Suluhu akiwa ana mnadi mgombea ubunge jimbo la Arusha mjini  Philemon Mollel hii leo



 picha zote  na woinde shizza wa libeneke la kaskazini blog


No comments: