Tuesday, August 4, 2015

BAADA YA KUCHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA URAIS DKT MAGUFULI NA MGOMBEA MWENZA WAPOKEWA KWA NDEREMO OFISI NDOGO ZA CCM MTAA WSA LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Philip Mangula wakati alipowasili Ofisi Ndogo ya CCM Mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam kumpokea mgombea Urais wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli  akitokea ofisi za Tume ya Uchaguzi kuchukua fomu za kugombea nafasi hiyo leo Jumanne Agosti 4, 2015

Katibu mwenezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam Ndg. Juma Simba akihamasisha wakereketwa wa Chama Tawala  Mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam kumpokea mgombea Urais wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli akitokea ofisi za Tume ya Uchaguzi kuchukua fomu za kugombea nafasi hiyo leo Jumanne Agosti 4, 2015
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete  alipowasili Ofisi Ndogo ya CCM Mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam kumpokea mgombea Urais wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli akitokea ofisi za Tume ya Uchaguzi kuchukua fomu za kugombea nafasi hiyo leo Jumanne Agosti 4, 2015
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha wageni akiwa na mkewe Mama Salma Kikwete alipowasili Ofisi Ndogo ya CCM Mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam kumpokea mgombea Urais wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli akitokea ofisi za Tume ya Uchaguzi kuchukua fomu za kugombea nafasi hiyo leo Jumanne Agosti 4, 2015
Kwaya na bendi ya TOT wakitumbuiza kwenye hafla hiyo
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri wesa Kilimo na Ushirika Mhe Stephen Wasira  katika  Ofisi Ndogo ya CCM Mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam kumpokea mgombea Urais wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli akitokea ofisi za Tume ya Uchaguzi kuchukua fomu za kugombea nafasi hiyo leo Jumanne Agosti 4, 2015
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Philip Mangula na Katibu Mkuu wa Chama hicho Ndg. Abdulrahman Kinana  Ofisi Ndogo ya CCM Mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam kumpokea mgombea Urais wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli  akitokea ofisi za Tume ya Uchaguzi kuchukua fomu za kugombea nafasi hiyo leo Jumanne Agosti 4, 2015
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Meya wa Ilala Mstahiki Jerry Silaa katika Ofisi Ndogo ya CCM Mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam kumpokea mgombea Urais wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli baada akitokea ofisi za Tume ya Uchaguzi kuchukua fomu za kugombea nafasi hiyo leo Jumanne Agosti 4, 2015
Mhe Asha-Rose Migiro akiongoza maandamano kumpokea mgombea Urais wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli baada akitokea ofisi za Tume ya Uchaguzi kuchukua fomu za kugombea nafasi hiyo leo Jumanne Agosti 4, 2015
Rais Kikwete akisalimiana na Mhe Asha-Rose Migiro katika hafla ya  kumpokea mgombea Urais wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli akitokea ofisi za Tume ya Uchaguzi kuchukua fomu za kugombea nafasi hiyo leo Jumanne Agosti 4, 2015
Rais Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa chama cha Wazazi Ndg. Abdallah Bulembo Majura katika hafla ya  kumpokea mgombea Urais wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli akitokea ofisi za Tume ya Uchaguzi kuchukua fomu za kugombea nafasi hiyo leo Jumanne Agosti 4, 2015
Viongozi wa juu wa CCM wakicheza na kuimba kwa furaha katika hafla ya  kumpokea mgombea Urais wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli akitokea ofisi za Tume ya Uchaguzi kuchukua fomu za kugombea nafasi hiyo leo Jumanne Agosti 4, 2015
Mama Salma Kikwete akiwa katika hafla ya  kumpokea mgombea Urais wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli akitokea ofisi za Tume ya Uchaguzi kuchukua fomu za kugombea nafasi hiyo leo Jumanne Agosti 4, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea kwa furaha mgombea Urais wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli  akitokea ofisi za Tume ya Uchaguzi kuchukua fomu za kugombea nafasi hiyo leo Jumanne Agosti 4, 2015

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea kwa furaha mgombea mwenza Mhe Samia Suluhu Hassan wakitokea ofisi za Tume ya Uchaguzi kuchukua fomu za kugombea nafasi hiyo leo Jumanne Agosti 4, 2015

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete na uongozi wa juu wa chama hicho tawala wakiwa n mgombea Urais wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli  akitokea ofisi za Tume ya Uchaguzi kuchukua fomu za kugombea nafasi hiyo leo Jumanne Agosti 4, 2015
Katibu Mkuu wa CCM Ndg Abdulrahmana Kiana akiongea na umati mkubwa katika hafla ya  kumpokea mgombea Urais wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli akitokea ofisi za Tume ya Uchaguzi kuchukua fomu za kugombea nafasi hiyo leo Jumanne Agosti 4, 2015
Rais Kikwete akiongea na umati mkubwa katika hafla ya  kumpokea mgombea Urais wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli akitokea ofisi za Tume ya Uchaguzi kuchukua fomu za kugombea nafasi hiyo leo Jumanne Agosti 4, 2015
Mgombea Urais wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli na mgombea mwenza Mhe Samia Suluhu Hassan wakilakiwa na wakereketwa akitokea ofisi za Tume ya Uchaguzi kuchukua fomu za kugombea nafasi hiyo leo Jumanne Agosti 4, 2015
Mgombea Urais wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli na mgombea mwenza Mhe Samia Suluhu Hassan wakionesha umati mkoba uliobeba fomu za kugombea Urais
Mgombea Urais wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na makada wa CCM 
Mgombea Mwenza Mhe Samia Suluhu Hassan akiongea na umati
Mgombea Urais wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli akiwa  na makada wa CCM 
Mgombea Urais wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli akiongea  na makada wa CCM 
Wanahabari kazini
Mbunge wa Chalinze Mhe Ridhiwani Kikwete na Meya wa Ilala Mhe Jerry Silaa wakifurahia jambo na wadau
Mgombea Urais wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na makada wa CCM 
Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM Mhe Samia Suluhu Hassan  akisalimiana na makada wa CCM 

No comments: