Monday, June 8, 2015

MSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA MOSHI ,JAFARY MICHAEL ATOA MSAADA WA KOMPYUTA KWA SHULE YA MSINGI PASUA MJINI MOSHI

Mwenyekiti wa shule ya msingi Pasua Shaban Machivya akizungumza wakati wa kikao cha wazi kilichofanyika katika shule hiyo.
Baadhi ya wazazi wa watoto wanaosoma katika shule ya msingi Pasua wakimsikiliza Mwenyekiti wa shule hiyo Shaban Machivya (hayupo pichani)
Mwenyekiti wa shule ya msingi Pasua ,akisisitiza jambo katika mkutano huo.
Msathiki Meya wa manispaa ya Moshi ,Jafary Michael akizungumza wakati wa kikao cha wazazi wa watoto wanaosoma katika shule hiyo.
Mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi Jafary Michael akimkabidhi mwenyekiti wa Shule ya msingi Pasua Shabani Machivya msaada wa Kompyuta kwa ajili ya shule hiyo.
Kompyuta zilizotolewa na msathiki Meya wa manispaa ya Moshi,Jafary Michael kwa ajili ya shule ya msingi Pasua.
Baadhi ya wazazi waliofika katika mkutano wa wazazi na shule,
Mstahiki Meya akizungumza.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini

No comments: