Monday, March 30, 2015

HARUSI YA KANUMBA YAFANA ATLANTA GEORGIA

IMG_6523Bw.harusi David Kanumba akiwa na mkewe Nadege na wakwe zake mara baada ya kufunga ndoa siku ya Jumamosi Machi 28,2015, katika kanisa la Faith Ministry International Atlanta Georgia. IMG_6563Bw.harusi na Bi harusi wakiwa Bw.Togo na mkewe na mwisho kulia ni mchungaji Mwinamila. IMG_6569Bw.harusi na bi.harusi wakiwa na Best man Oscar na Matron Renee . IMG_6546Wapambe wa Bw.harusi David Kanumba. IMG_6692Cake ya harusi. IMG_6655Mzee Kanumba amesafiri kutoka Tanzania akitoa wasia wake. IMG_6755Maharusi wakicheza katika mavazi maalum ya kitamaduni. IMG_6672Bi.harusi akienda mpaka chini katika kufungua dansi. IMG_6625Mc wa shughuli Sunday Shomari akiwa na Dj Bacheer. IMG_6749 Bi. Linda na Ashura.Kwa picha zaidi ungana na Sundayshomari.com

No comments: