Tuesday, January 27, 2015

SEND OFF YA DK. NEEMA NALITOLELA YA FAANA SANA

Hayawi hayawi yamekuwa , Dk. Neema Nalitolela (kushoto)akiwa katika picha ya pamoja na mpambe wake Winne Temu (kulia) wakifurahia jambo wakati wa sherehe ya kumuaga (Send off) iliyofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Marantha Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam.
DK. Neema Nalitolela akikata keki wakati wa sherehe ya kumuaga (send off ) huku akishuhudiwa na wazazi wake Mr &mrs Nalitolela( kushoto) na upande wa wazizi wa mmewake mtarajiwa Mr&mrs Kabyemero( kulia) sherehe hiyo ilifanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Marantha Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam, Neema ni Daktari wa magonjwa ya watoto katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Dk. Neema Nalitolela akipongezana na mpambe wake Winne Temu wakati wa sherehe ya send off yake iliyofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Marantha Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam. Neema ni Daktari wa magonjwa ya watoto katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Nakupemda sana naomba ukanitunze vyema ,Dk Neema Nalitolela akimkabidhi zawadi mmewake mtarajiwa Thomas Kabyemero zawadi wakatiwa sherehe ya kumuaga iliyofanyika hivi hivi karibuni katika ukumbi wa Marantha Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam.
TUDUMISHE MILA ZETU KWANZA HAPO TUTAUONA UZEE. DK. Neema Nalitolela akiwana furaha wakati alipomkarisha mme wake mtarajiwa Thomas Kabyemero kumuonyesha mira na desturi za kwao za Wayao wakati wa sherehe ya kumuaga send off iliyofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Marantha Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam.
TUDUMISHE MILA ZETU KWANZA HAPO TUTAUONA UZEE. DK. Neema Nalitolela akiwana furaha pamoja na mme wake mtarajiwa Thomas Kabyemero wakati aalipokuw akichezewa ngoma ya Kimira ya Wayao wakati wa sherehe ya kumuaga send off iliyofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Marantha Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam.
Baba mzazi wa bibi harusi mtarajiwa DK. Neema Nalitolela akiwa na familia yake akitoa nasaha kwa njia ya kuimba shairi wakati wa sherehe ya kumuaga mwanae (send off ) iliyofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Marantha Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam. Neema ni Daktari wa magonjwa ya watoto katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Familia na wanakamati wakicheza muziki wakati wa wa sherehe ya send off yake iliyofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Marantha Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam.
Biharusi mtarajiwa Dk.Neema Nalitolela akiwa na mpambe wake Winne Temu wakimiminiwa shampeni na mmoja wa maraki zao wakat wa sherehe ya kumpongeza Send off iliyofanyika hivi karibunikatika ukumbi wa Marantha Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam
TUNAMSHUKURU MUNGU TUMEFANIKISHA TUNAMTAKIA NDOA NJEMA.Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya sherehe ya kumuaga Dk,Neema Nalitolela akiwa katika picha ya pamoja na wanakamati wote .
HII SIKU NILIINGONJEA SANA ACHA NICHEZE LEO Bibi harusi mtarajiwa Dk. Neema Nalitolela akiwa na mpambe wake Winne Temu wakiingia ndfani ya ukumbi kwa stari ya kucheza muziki .

No comments: