Thursday, January 29, 2015

Mkutano wa mwaka wa Taasisi ya Wanataaluma wa mambo ya Ardhi wafanyika leo jijini dar

Katibu Mkuu, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Alphayo J. Kidata akitoa hotuba katika Mkutano wa mwaka wa Taasisi ya Wanataalum ya Uthamini, Uwakala wa Majengo na Haki za Ardhi, Usimamizi wa Miliki na Maendeleo ya Ardhi Tanzania (TIVEA), Kulia kwake waliokaa ni Kamishna wa Ardhi, Dr. Moses.M.Kusiluka na Makamu Rais wa TIVEA – Hamad Abdallah.Pamoja na mambo mengine, Ndg. Kidata alikemea tabia ya wathamini wanaotuhumiwa kufanya tathmini za nyumba hewa, au kuongeza kiwango cha thamani ya mali kwa kusukumwa na rushwa. Mkutano ulifanyika jana, tarehe 29-30, 2015, Blue Pearl Hotel – Dar es Salaam.
Katibu Mkuu, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Alphayo J. Kidata akitoa hotuba katika Mkutano wa mwaka wa Taasisi ya Wanataalum ya Uthamini, Uwakala wa Majengo na Haki za Ardhi, Usimamizi wa Miliki na Maendeleo ya Ardhi Tanzania (TIVEA).
Pro.Lusugga Kironde akisisitiza kwa Vijana wenye taaluma ya Uthamini kujiendeleza kuboresha fani yao kwa Maendeleo ya nchi, jana katika Mkutano wa mwaka wa Taasisi ya Wanataalum ya Uthamini, Uwakala wa Majengo na Haki za Ardhi, Usimamizi wa Miliki na Maendeleo ya Ardhi Tanzania (TIVEA), uliofanyika jana, tarehe 29-30,2015, Blue Pearl Hotel – Dar es Salaam.
Picha ya pamoja ya Katibu Mkuu, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Alphayo J. Kidata katika ufunguzi wa Warsha na Mkutano wa mwaka wa Taasisi ya Wanataaluma ya Uthamini, Uwakala wa Majengo na Haki za Ardhi, Usimamizi wa Miliki na Maendeleo ya Ardhi Tanzania (TIVEA), uliofanyika jana, tarehe 29-30,2015, Blue Pearl Hotel – Dar es Salaam. 
Picha ya pamoja ya Katibu Mkuu, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Alphayo J. Kidata katika ufunguzi wa Warsha na Mkutano wa mwaka wa Taasisi ya Wanataaluma ya Uthamini, Uwakala wa Majengo na Haki za Ardhi, Usimamizi wa Miliki na Maendeleo ya Ardhi Tanzania (TIVEA), uliofanyika jana, tarehe 29-30,2015, Blue Pearl Hotel – Dar es Salaam. (Picha na Mboza Lwandiko – Afisa Habari, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi).

No comments: