Wednesday, December 17, 2014

Mamia wamzika Shem Karenga

 Baadhi ya wadau wa muziki wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa mwanamuziki mkongwe wa bendi ya Tabora Jazz, marehemu Shem Karenga wakati wa maziko yake yaliofanyika leo kwenye makaburi ya Kisutu, jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)
 Ras Innocent Nganyagwa akitafakari jambo wakai wa maziko ya mwanamuzi nguli wa muziki wa dansi marehemu Shem Karenga.
 Hassan Rehan Bichuka (kulia) akiwa na wanamuziki wenzake wa zamani  King Kii na Scotto wakibadilishana mawazo na Ankal walipokutana katika maziko ya mwanamuziki nguli wa bendi ya Tabora Jazz, marehemu Shem Karenga.
 Ankal akiteta jambo na mwanamuziki mkongwe wa Bendi ya Sikinde Ngoma ya Ukae Hassan Rehani Bitchuka.
 Mwili wa marehemu Shema Karenga ukiwasili katika makaburini ya Kisutu.
 Mamia ya waombolezaji wakielekea makaburini.
 Mwanamuziki mkongwe Kassim Mapili (katikati) akiwa na wadau wa muziki kulia ni mwanamuziki Tshimanga Asosa na kushoto ni mdau wa muziki Ankal 





















Mdau wa muziki John Jembele (kushoto) akiwa na Tshimanga Asosa


No comments: