Sunday, November 23, 2014

Nusu ya fainali ya kwanza ya mashindano ya DR MWAKA SPORTS XTRA NDONDO CUP katika uwanja wa Mwembe Yanga,Temeke

Nusu ya fainali ya kwanza ya mashindano ya DR MWAKA SPORTS XTRA NDONDO CUP imepigwa hapo jana kwenye uwanja wa Bandari maeneo ya Tandika Mwembe Yanga kati ya Tabata FC na Black Six,mchezo ulimalizika kwa tabata kushinda bao 1-0 na kukata tiketi ya kucheza fainali hapo tarehe 29/11/2014 kwenye uwanja huo huo wa Bandari.mchezo huo uliweka rekodi ya mashindano ya NDONDO kwa kuhudhuliwa na mashabiki wengi.10553574_836086276455319_1176921432347220072_nMashabiki wa BLACK SIX ya Buguruni.......... 1524680_836086256455321_7417674193230448689_n1525524_836086199788660_6700093270394678514_n 1544973_836086223121991_5568385013137637331_nSSSS 1960140_836086329788647_6126915949753505475_nMshambuliaji wa na YANGA Jerry Tegete alikuwa anaongoza mashambulizi ya timu yake ya nyumbani TABATA FC....... 10350425_836086403121973_4713464705511470346_nMkurugenzi wa vipindi na uzalishaji wa Clouds Media Group Bwana Ruge Mutahaba,Fauzia Abdi pamoja Ibrahim Masoud 'Maestro' walikuwepo kushuhudia mpambano huo..... 10382399_836086466455300_4570599094018049969_oSSS 10406884_836086093122004_4566043938806012509_n 10407158_836086103122003_8164798938417842965_nSSSSkutoka kushoto ni Mratibu wa mashindano Shaffih Dauda,Mdhamini wa mashindano Dr Juma Mwaka ,Ruge Mutahaba na Ibrahim Masoud 'Maestro' 10408076_836086479788632_905767488845041078_nSSSSMpambano kati ya Tabata FC na Black Six ukiendelea kwenye uwanja wa BANDARI maeneo ya Tandika Mwembe YANGA ukiendelea...... 10733956_836086126455334_5963849990886177857_n 10801481_836086163121997_8396042177401085177_n

No comments: