Saturday, July 26, 2014

Rais Dk. Shein afutarisha Ikulu Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akijumuika na Viongozi katika futari aliyowaandalia wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.

Mke wa Rais wa zanzibar Mama Mwanamwema Shein (katikati) akijumuika na weke wa Viongozi mbali mbali akiwemo Mke wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Mama Shadya Karume (wa pili kushoto) katika futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Sheinkwa wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.
Akina mama wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakiwa katika futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar jana.
Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakijumuika katika fuitari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dk.Mwinyihaji Makame,akitoa shukurani kwa wananchi kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein kwa kushiriki katika futari iliyoandalia kwa wananchi hao wa Mkoa wa Mjini Magharibi jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.
Mke wa Rais wa zanzibar Mama Mwanamwema Shei,akiagana na Mke wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Mama Shadya Karume,baada ya kumalizika kwa futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakiagana na wananchi mbali mbali waliohudhuria katika fuatri aliyowandalia wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakiagana na Akina mama wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja jana baada ya kumalizika futari aliyowaandalia katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na aliyekuwa Kamishna wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Simai Mohamed Said, baada ya kumalizika kwa futari aliyowaandalia wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.Picha na Ramadhan Othman Ikulu.

No comments: