Monday, June 2, 2014

DKT. BILAL AZINDUA KITUO CHA TIBA, UCHUNGUZI NA MAFUNZO YA MAGONJWA YA SARATANI, MATUMBO NA INI UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI CHAFUNGULIWA MUHIMBILI

Kituo cha uchunguzi na mafunzo ya magonjwa ya saratani, matumbo na ini Ukanda wa Afrika Mashariki kimefunguliwa rasmi mwishoni mwa juma. Sherehe hizo zilifanyika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili mwishoni mwa juma ambapo Mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal. Fuatilia katika picha matukio wakati wa ufunguzi.
Description: DSC_1474
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akipongezana na Profesa Meinrad Classen wa Chama cha Madaktari wa Matibabu ya Mfumo wa Chakula ya Ujerumani ambaye alisaidia kutafuta fedha za kujenga na kuweka vifaa tiba vya kituo hicho kutoka Kampuni ua Else Kroner Fresenius ya nchini Ujerumani  baada ya kufungua rasmi kituo hicho.
Description: DSC_1477
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
akisaini kitabu cha wageni mara tu baada ya kufungua kituo hicho.
Description: DSC_1482
Dkt. John Rwegasha, Bingwa wa Magonjwa ya Matumbo na Ini akitoa ufafanuzi kwa  Makamu wa Rais, Dkt. Bilal
Description: DSC_1501
Dkt. Edwin Masue Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Ndani akitoa maelezo kwa Dkt. Bilal kuhusu matumizi ya kifaa cha kufanyia uchunguzi
Description: DSC_1494
Dkt. Komba Ewaldo Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Ndani, pia anayesomea Ubingwa wa
Magonjwa ya Matumbo na Ini akitoa maelezo kwa Dkt. Bilal juu ya matumizi ya kifaa cha kufanyia uchunguzi mfumo wa hewa.
Description: DSC_1530
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Dkt. Marina Njelekela akitoa maelezo
kwa Dkt. Bilal kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa kwenye kituo hicho
Description: DSC_1534
Muuguzi Bw. Peter Kiegezo akieleza jinsi wauguzi wanavyosaidiana na
watalaamu mbalimbali katika kituo hicho kutoa huduma kwa wagonjwa
Description: DSC_1545
Juu na Chini: Viongozi na Wageni mbalimbali wakifuatilia matukio wakati wa sherehe za ufunguzi wa kituo hicho
Description: DSC_1546
Juu na Chini: Viongozi na Wageni mbalimbali wakifuatilia matukio wakati wa sherehe za ufunguzi wa kituo hicho
Description: DSC_1547
Description: DSC_1676
Picha ya pamoja na Makamu wa Rais, Dkt. Bilal na Wafanyakazi wa Kituo kilichozinduliwa. Waliokaa kutoka kushoto ni Prof. Dr. Dr.h.c. Konrad Meßmer (MESSMER), Mwakilishi wa Else Kroner, Fresenius Stiftung ya Ujerumani, ambaye kampuni yake ndiyo iliyotoa fedha kujenga na kuweka vifaa, akifuatiwa na Prof. Meinhard Classen, Mwenyekiti, Munich Society of Gastroenterology aliyesaidia kutafuta mfadhili, Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Kebwe Kebwe. Waliokaa kutoka kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dkt. Marina Njelekela, akifuatiwa na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dkt. Gabriel Upunda na Mwakilishi wa Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania.
Description: DSC_1668
Picha ya pamoja na Makamu wa Rais, Dkt. Bilal na Viongozi Waandamizi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Wajumbe wa Bodi ya Hospitali ya Taifa Muhimbili .
Waliokaa kutoka kushoto ni Prof. Dr. Dr.h.c. Konrad Meßmer (MESSMER), Mwakilishi wa Else Kroner, Fresenius Stiftung ya Ujerumani, ambaye kampuni yake ndiyo iliyotoa fedha  kujenga na kuweka vifaa, akifuatiwa na Prof. Meinhard Classen, Mwenyekiti, Munich Society of Gastroenterology aliyesaidia kutafuta mfadhili, Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Kebwe Kebwe. Waliokaa kutoka kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dkt. Marina Njelekela, akifuatiwa na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dkt. Gabriel Upunda na Mwakilishi wa Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania.
Description: DSC_1678
Picha ya pamoja na Makamu wa Rais, Dkt. Bilal na Wakuu wa Idara na Mameneja wa Majengo Hospitali ya Taifa Muhimbili . Waliokaa kutoka kushoto ni Prof. Dr. Dr.h.c. Konrad Meßmer (MESSMER), Mwakilishi wa Else Kroner, Fresenius Stiftung ya Ujerumani, ambaye kampuni yake ndiyo iliyotoa fedha  kujenga na kuweka vifaa, akifuatiwa na Prof. Meinhard Classen, Mwenyekiti, Munich Society of Gastroenterology aliyesaidia kutafuta mfadhili, Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Kebwe Kebwe. Waliokaa kutoka kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa
Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dkt. Marina Njelekela, akifuatiwa na Makamu
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dkt. Gabriel Upunda na Mwakilishi wa Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania.
Description: DSC_1670
Picha ya pamoja na Makamu wa Rais, Dkt. Bilal na Wakurugenzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Waliokaa kutoka kushoto ni Prof. Dr. Dr.h.c. Konrad Meßmer (MESSMER), Mwakilishi wa Else Kroner, Fresenius Stiftung ya Ujerumani, ambaye kampuni yake ndiyo iliyotoa fedha  kujenga na kuweka vifaa, akifuatiwa na Prof. Meinhard Classen, Mwenyekiti, Munich Society of Gastroenterology aliyesaidia
kutafuta mfadhili, Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Kebwe Kebwe. Waliokaa kutoka kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dkt. Marina Njelekela, akifuatiwa na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dkt. Gabriel Upunda na Mwakilishi
wa Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania.
Description: DSC_1558
Prof. Meinhard Classen, Mwenyekiti, Munich Society of Gastroenterology aliyesaidia kutafuta mfadhili
Description: DSC_1581
Prof. Dr. Dr.h.c. Konrad Meßmer (MESSMER), Mwakilishi wa Else Kroner, Fresenius Stiftung ya Ujerumani, ambaye kampuni yake ndiyo iliyotoa fedha  kujenga na kuweka vifaa
Description: DSC_1622
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dkt. Marina Njelekela akitoa utambulisho na salam wakati wa wakati wa sherehe za ufunguzi wa kituo hicho
Description: DSC_1554
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dkt. Gabriel Upunda na Mwakilishi wa Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania, akitoa salaam kwa niaba ya Bodi yake.

No comments: