Saturday, April 19, 2014

MABONDIA WAPIMA UZITO KWA AJILI YA MPAMBANO WA LEO PTA SABASABA, DAR ES SALAAM

Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Mustafa Doto utakaofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es salaam 
Bondia Mustafa Dotto kushoto akitunishiana misuli na Ibrahimu Class 'KIng class Mawe' kabla ya kuzipiga katika ukumbi wa PTA Sabasaba April 19 siku ya jumamosi  
Bondia Mustafa Dotto kushoto akitunishiana misuli na Ibrahimu Class 'KIng class Mawe' kabla ya kuzipiga katika ukumbi wa PTA Sabasaba April 19 siku ya jumamosi 
Bondia Mfaume Hamad kushoto akitunishiana misuli na Godfrey Sadiki kabla ya kuzipiga katika ukumbi wa PTA Sabasaba April 19 siku ya jumamosi  
BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' KUSHOTO ALIESIMAMA AKISHUDIA MPINZANI WAKE AKIPIMA AFYA
PROMOTA WA MPAMBANO MUSSA KOVA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MPAMBANO HUO
BONDIA FRANSIC MIYEYUSHO AKIZUNGUMZA
MIYEYUSHO  AKIPIMA UZITO
MIYEYUSHO

No comments: