Thursday, April 17, 2014

Baraza Kuu la Wafanyakazi NSSF Lakutana Dar es Salaam

o wao.Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dk. Ramadhani K. Dau akizungumza na baadhi ya wajumbe wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa NSSF baada ya kumalizika kwa kikao cha baraza hilo. 
Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dk. Ramadhani K. Dau (wa kwanza kushoto) akizungumza na baadhi ya viongozi waandamizi wa shirika hilo, ambao pia ni wajumbe wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa NSSF baada ya kumalizika kwa kikao cha baraza hilo.Baadhi ya Wajumbe wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa NSSF wakibadilishana mawazo kwenye mapumziko  kabla ya kuendelea na majadiliano. Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori (katikati) akibadilishana mawazo na baadhi ya viongozi waandamizi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ambao pia ni wajumbe wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika hilo. Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori (katikati) akibadilishana mawazo na baadhi ya viongozi waandamizi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ambao pia ni wajumbe wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika hilo.Baadhi ya Wajumbe wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa NSSF wakibadilishana mawazo kwenye mapumziko kabla ya kuendelea na majadiliano.  Baadhi ya Wajumbe wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa NSSF wakibadilishana mawazo kwenye mapumziko kabla ya kuendelea na majadiliano.Baadhi ya Wajumbe wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa NSSF wakiwa katika mkutano wa baraza uliofanyika juzi na jana jijini Dar es Salaam. Baadhi ya Wajumbe wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa NSSF wakiwa katika mkutano wa baraza uliofanyika juzi na jana jijini Dar es Salaam.Baadhi ya Wajumbe wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa NSSF wakibadilishana mawazo kwenye mapumziko  kabla ya kuendelea na majadiliano.  Baadhi ya Wajumbe wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa NSSF wakibadilishana mawazo kwenye mapumziko
kabla ya kuendelea na majadiliano.[/caption] [caption id="attachment_45447" align="aligncenter" width="640"]Wajumbe wa Baraza Kuu la Wafanyakazi la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii wakiwa katika  picha ya pamoja baada ya mkutano wao wa siku mbili uliofanyika jijini Dar es Salaam. Wajumbe wa Baraza Kuu la Wafanyakazi la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii wakiwa katika picha ya pamoja baada ya mkutano wao wa siku mbili uliofanyika jijini Dar es Salaam.

BARAZA Kuu la Wafanyakazi la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii limekutana kwa siku mbili jijini Dar es Salaam tangu juzi kufanya vikao vyake vya kazi ikiwa ni pamoja na kuangalia utendaji kazi, kupitia mikakati na malengo mbalimbali iliyojiwekea. 
 Mkutano huo ambao pia umejadili na kupitisha bajeti ya shirika kwa mwaka 2014/15 umeongozwa na Mwenyekiti wa Baraza hilo, ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dk. Ramadhani K. Dau na kufanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa NSSF uliopo Katika Jengo la shirika hilo 'WeterFront House' la jijini Dar es Salaam. 
 Mkutano huo umejumuisha Watendaji Wakuu toka Makao Makuu, Mameneja wa Mikoa, Watendaji wa kuu wa mikoa na wajumbe wengine wanaounda baraza la wafanyakazi la NSSF. 
Jumla ya wajumbe 142 wameshiriki katika mkutano huo uliofanyika kwa siku mbili. Shirika la NSSF ni miongoni mwa mwashirika makubwa ya hifadhi ya jamii nchini yenye vitega uchumi lukuki na vya thamani kubwa vinaochangia kukua kwa uchumi wa taifa. 
*Imeandaliwa na www.thehabari.com

No comments: