Monday, February 10, 2014

AROBAINI YA ZAINABU BUZOHERA DMV

Mume wa marehemu Zainabu Buzohera,Bw. Dullah akiwa katika picha ya pamoja na mdogo wa marehemu,Ngalu Buzohera kwenye kisomo cha arobaini ya mpendwa wao Zainab iliyofanyika Jumapili feb 9, 2014 kwenye mgahawa wa Tabeer uliopo Hyattsville, Maryland.
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiwaongoza Watanzania kwenye kisomo cha arobaini ya mpendwa wetu Zainab Buzohera aliyefariki Jan 4, 2014 kwenye hosipitali ya Doctor's Community iliyopo Lanham, Maryland.
Watanzania wa DMV na majimbo mengine wakijumuika na familia ya wafiwa kwenye kisomo cha arobaini ya marehemu Zainab Buzohera kilichofanyika Jumapili Feb 9, 2014 katika mgahawa wa Tabeer uliopo Hyattsville, Maryland.
Watanzania wa DMV na majimbo mengine wakihudhuria kisomo cha arobaini ya marehemu Zainab Buzohera iliyofanyika Jumapili Feb 9, 2014 katika mgahawa wa Tabeer uliopo Hyattsville, Maryland maeneo ya Langley Park.
Watanzania wa DMV na majimbo mengine wakiwa kwenye katikati ya kisomo cha arobaini ya marehemu Zainab Buzohera iliyofanyika Jumapili Feb 9, 2014.
Watanzania wa DMV na majimbo mengine wakijumuika pamoja na familia ya marehemu kwenye kiosomo cha arobaini ya Zainab Buzohera kilichofanyika Jumapili Feb 9, 2014.
Kisomo cha arobaini ya marehemu Zainab Buzohera kikiendelea.
Kisomo cha arobaini ya Zainab Buzohera kilichafanyika siku ya Jumapili feb 9, 2014 kikiendelea.
Watanzania wa DMV na majimbo mengine wakufuatilia kisomo cha arobaini ya marehemu Zainab Buzohera iliyofanyika siku ya Jumapili Feb 9, 2014.
Picha kwa hisani ya Vijimambo Blog





No comments: