Wednesday, January 15, 2014

Waziri wa maji Prof Jumanne Maghembe azindua mradi wa maji Kiboriloni.

 Waziri wa maji Prof Maghembe akisalimiana na mbunge wa jimbo la Moshi mjini Mhe. Philemon Ndesamburo wakati akiwasili katika uwanja wa Shule ya msingi Mnazi kwa ajili ya uzinduzi wa mradi wa maji Kiboriloni.
 Mbunge wa Moshi mjini Mhe Philemon Ndesamburo akiteta jambo na mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa mamlaka ya maji safi na maji taka mjini Moshi,Shally Raymond.
 Mradi wa maji Kiboriloni uliozinduliwa na waziri wa maji Prof Maghembe.
 Kikundi cha Ngoma cha Msanja kutoka kata ya Njoro kikitoa burudani katika uzinduzi wa mradi wa maji kata a Kiboriloni.
 Mkurugenzi wa maji safi na maji taka mjni Moshi,Mhandisi Cyprian
Luhemeja akitoa taarifa ya maji mbele ya waziri wa maji Prof Maghembe
wakati wa uzinduzi wa mradi wa Kiboriloni.
 Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa mamlaka ya maji safi na maji taka mjini Moshi Shally Raymond akizungumza katika uzinduzi wa mradi wa maji wa Kiboriloni.
 Wananchi wakifuatilia hotuba wakati wa uzinduzi wa mradi wa maji Kiboriloni.
 Mbunge wa jimbo la Moshi mjini Mhe Philemoni Ndesamburo akizungumza katika uzinduzi wa mradi wa maji Kiboriloni.
 Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Moshi mjini Elizabeth Minde akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi wa maji Kiboriloni.
 Waziri wa maji Prof Jumanne Maghembe akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi wa maji Kiboriloni.
 Mkurugenzi wa MUWSA ,Mhandisi Luhemeja akimuongoza waziri wa maji Profesa Maghembe kwenda kuzindua mradi wa maji Kiboriloni.
 Waziri wa maji Prof Jumanne Maghembe akizindua mradi wa maji Kiboriloni.
 Waziri wa maji Prof Jumanne Maghembe akizindua mradi wa maji Kiboriloni.
 Waziri wa maji Prof Jumanne Maghembe akizindua mradi wa maji Kiboriloni.
 Haya, maji hayo......
 Waziri wa maji Prof Jumanne Maghembe akipanda mti katika eneo la mradi wa maji Kiboriloni.
 Mbunge wa jimbo la Moshi mjini Philemoni Ndesamburo akiotesha mti katika eneo la mradi wa maji Kiboriloni.
 Mkurugenzi wa mamlaka ya maji safi na maji taka mjini Moshi,Mhandisi Cyprian Luhemeja akiotesha mti katika eneo la mradi wa maji la Kiboriloni.
 Waziri wa maji Prof Jumanne Maghembe akiteta jambo na mbunge wa jimbo la Moshi mjini Philemoni Ndesamburo pamoja na Mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi Jafary Michael. 
Afisa uhusiano wa mamlaka ya maji safi na maji taka mjini Moshi,MUWSA,Dorah Killo akitoa maelezo kwa waziri wa maji,Prof Jumanne Maghembe alipofanya ziara kutembelea na kuzindua mradi wa maji Kiboriloni. Picha zote na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Moshi.

1 comment:

Unknown said...

Asanteni wa kina mama wa ngoma ya msanja endeleeni huo ni utamaduni tuloachiwa na mama zetu nimefurahi kuna bado inaenziwa msanja