Monday, January 27, 2014

DR SLAA AVUNA MMOJA WA CCM NA TLP IRINGA

Helikopta ikutua katika  uwanja wa Mwembetogwa 
Dr Slaa akiwasili katika  kiwanja cha Mwembetogwa leo 
Mbunge wa  jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa akiwahutubia wana Iringa leo 
Mbunge Halima Mdea akiwahutubia  wananchi wa jimbo la Iringa mjini leo 
Katibu  mkuu wa Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) Dr Slaa akimpokea kada wa CCM ambae amehamia  Chadema leo ,kulia ni kata wa TLP Bw  Samson 
Dr Slaa akimpokea kada wa  TLP Bw Samson Mrisho ambae amejiunga na Chadema leo uwanja wa Mwembetogwa 
Dr Slaa akihutubia katika mkutano wa hadhara katikauwanja wa Mwembetogwa mjini Iringa leo (picha na Francis Godwin Blog)

No comments: