Friday, December 13, 2013

MASTAA WA SIKINDE KUSHUKA NA NYIMBO 5 TAMASHA LA GURUMO JUMAMOSI TCC CLUB …Komandoo kuibuka na 2, Mzee Makassy na Anifa wake

 Abdallah Gama na Miraji Shakashia wakila tizi la nguvu
 Muhidin Maalim Gurumo akishiriki mazoezi
 Hafsa Kazinja, Edo Sanga, Juma katundu na Hussen Jumbe wakila tizi.
 Hussein Jumbe na Edo Sanga wakibadilishana uzoefu

King Maluu na Yahaya wakipulkiza Saxophone
 Komandoo Hamza Kalala akiongoza tizi hilo kabambe
 Mashaka azigonga drums
Sajenti Mstaafu Mzee Kassim Mapili akidhibiti muda wa kila wimbo

No comments: