Friday, December 20, 2013

MAMIA WAJITOKEZA KUMZIKA ALIYEKUWA KATIBU WA CCM MKOA WA IRINGA LEO

 Vijana  wa  UVCCM mkoa  wa Iringa na Mbeya  wakiwa  wamelibeba  jeneza  lenye  mwili wa aliyekuwa katibu wa CCM mkoa wa Iringa Emanuel Mteming'ombe leo  wakati  wa kuelekea  kanisani kwa ibada kabla ya mazishi yake  yaliyofanyika kijijini Kwake Rujewa Mbarali mkoani Mbeya 
Naibu katibu mkuu wa CCM Bara Bw Mwigulu Nchemba wa pili kulia akiwa na mwenyekiti wa CCM mkoa  wa Iringa Jesca Msambatavangu kulia na viongozi  wengine nyumbani kwa marehemu Mteming'ombe Rujewa Mbarali
Mkuu  wa mkoa  wa Mbeya  Abas Kandoro wa pili  kushoto akiwa na mkuu wa mkoa wa Iringa Dr Christine Ishengoma katikati
Familia ya marehemu na ndugu mbali mbali  wakiwa kanisani kanisa la RC Rujewa  leo
Waombolezaji  wakiwa ibadani  leo
 Naibu katibu mkuu CCM Bara Bw Mgulu Nchemba akiongoza  waombolezaji  kutoa  heshima zake za mwisho kwa aliyekuwa katibu wa CCM mkoa wa Iringa Emanuel Mteming'ombe leo katika kanisa la RC Rujewa Mbarali mkoani Mbeya
 Naibu katibu mkuu CCM Bara Bw Mgulu Nchemba akiongoza  waombolezaji  kutoa  heshima zake za mwisho kwa aliyekuwa katibu wa CCM mkoa wa Iringa Emanuel Mteming'ombe leo katika kanisa la RC Rujewa Mbarali mkoani Mbeya
 Mkuu  wa mkoa  wa Iringa Dr Christine Ishengoma akitoa  heshima zake



Mwenyekiti wa CCM mkoa  wa Iringa Jesca Msambatavangu  akiaga mwili  huo
Waombolezaji  wakikimbia mvua  kubwa iliyonyesha kwa dakika kama 10  hivi mara baada ya  mwili kufika makaburini
Mwenyekiti  wa CCM mkoa  wa Iringa Jesca Msambatavangu  akisoma historia ya marehemu Mteming'ombe huku naibu katibu mkuu  CCM Bara Bw Mwigulu Nchemba akionyesha kufuta machozi
Mjane  wa Mteming'ombe akiweka maua
Mzee Mteming'ombe akiweka shada la maua
Naibu katibu mkuu CCM Bara  Mwigulu Nchemba  akiongoza  waombolezaji kuweka shaba la maua  katika kaburi la aliyekuwa katibu wa CCM mkoa wa Iringa marehemu Emanuel Mteming'ombe leo katika makaburi ya RC Rujewa Mbarali Mbeya
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Jesca Msambatavangu  akiweka shada la maua
mkuu  wa  mkoa wa Iringa Dr Ishengoma  akiweka  shada la maua
Mkuu  wa mkoa  wa Mbeya Abas  Kandoro akiweka shada la maua
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe Abbas Kandoro akisema machache
Bw. Mwigulu Mchemba akitoa rambirambi kwa niaba ya CCM
Kanali Mjengwa akisalimiana na naibu katibu mkuu CCM Bara Mwigulu Nchemba  leo nje ya kanisa la RC Rujewa baada ya  kukutana kwa shughuli za mazishi ya aliyekuwa katibu wa CCM mkoa  wa Iringa Emanuel Mteming'ombe. Picha zote kwa hisani ya Francis Godwin Blog.

No comments: