Wednesday, November 6, 2013

SHEREHE ZA MAHAFALI YA 11 YA CHUO KIKUU CHA KUMBUKUMBU YA HUBERT KAIRUKI WAHITIMU 114 WAHITIMU MASOMO YAO

Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki Bw. John Ulanga, akisoma hotuba yake wakati wa mahafali ya 11 ya Chuo hicho yaliyofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma, Prof. Paschalis Rugarabamu, akisoma majina ya wanafunzi bora wakati wa mahafali ya 11 ya Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki 

Prof. Pauline Mella akiongoza maandamano ya wanataaluma kuingia ukumbini i wakati wa mahafali ya 11 ya Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki
Sehemu ya wageni waalikwa waliohudhuria sherehe za mahafali ya 11 ya Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki yaliyofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee
Sehemu ya wahitimu wa kozi mbalimbali zitolewazo na Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki wakifuatilia hotuba wakati sherehe za mahafali ya 11 ya Chuo hicho
Sehemu ya wahitimu wa kozi ya Udaktari wakati wa sherehe za mahafali ya 11 ya Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki
Sehemu ya wahitimu wa Shahada ya Udaktari wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki Dr. Salim Ahmed Salim pamoja na viongozi wengine waandamizi wa Chuo
Sehemuu ya maandamano ya wanataaluma wakiingia ukumbini kwa ajili ya sherehe za mahafali ya 11 ya Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki

Wahitimu wa kozi ya udaktari wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki wakila kiapo cha udaktari wakati wa sherehe za mahafali ya 11 ya Chuo hicho
Wanafunzi waliofanya vizuri katika masomo yao wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa Mahafali ya 11 ya Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki

No comments: