Tuesday, November 26, 2013

FFU UGHAIBUNI WAUTEKA MJI WA BREMEN, UJERUMANI

fan wa ngoma africa band akisainiwa autograph katika CD na Kamanda Ras Makunja.
FFU wa Ngoma Africa band na mitutu yao wakishambulia mjini Bremen
Flora Williams na Jessy Oyah waimbaji wakike wa ngoma afrika band kazin
Full muzuka Ngoma Africa Band Live bila chenga Jiji la Bremen, Ujerumani
Glory Mndeke mwimbaji Rapa wa Ngoma Africa band
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
kamanda Ras Makunja akiwa katika gari maalumu akiwapungia mkono wakazi wa bremen.
Ras Makunja FFU katika gwaride Bremen, Ujarumani
Kijana mdogo Gaiilo ni mpiga bass msaidizi ndani ya FFU,mara nyingi amekuwa kivutio cha washabiki.
Mkaanga chips wa ngoma africa band Jonathan Sousa aka Jo Jo
Mo Benda mpiga Rhythm gitaa wa Ngoma Africa na mtutu wake
wapenzi na washabiki wa ngoma Africa band ndani ya Ubersee museum Bremen

No comments: