Saturday, October 5, 2013

mamia wajitokeza kwenye mazishi ya dada wa Mh Freeman Mbowe huko Moshi leo

 Umati mkubwa wa waombolezaji .katika mazishi ya dada wa Mwenyekiti wa Chadema,marehemu Grace Mbowe
Seehemu ya  viongozi wa serikali na wa vyama vya siasa  pamoja na wananchi waliojitokeza katika mazishi ya dada wa Mwenyekiti wa Chadema,marehemu Grace Mbowe
 Watoto wa marehemu wakitoa heshima ya mwisho kwenye jeneza la mama yao
Grace Mbowe.
 Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akiwa na viongozi wa dini pamoja na ndugu wengine
wakati wa mazishi ya dada yake marehemu Grace Mbowe.
 Ndugu wa marehemu wakionekena wenye huzuni wakati wa mazishi ya ndugu yao Grace Mbowe.
  Mbunge wajimbo la Moshi mjini Philemoni Ndesamburo akitoa pole kwa niaba ya Chadema taifa kwa mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe.
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge,William Lukuvi akitoa salamu za rambi rambi kwenye msiba wa dada wa kiongozi wa kambi rasmi ya upinzania Bungeni Freeman Mbowe.
 Mbunge wa jimbo karatu Mchungaji Yohana Natse akitoa salamu za rambi rambi kwa niaba ya wabunge wa Chadema.
 Wafanyakazi wenza na marehemu Grace Mbowe wakitoa salamu zao wakati wa mazishi hayo.
 Watoto wa marehemu Grace Mbowe wakizungumza jambo wakati wa mazishi ya marehemu mama yao.
 Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro Idd Juma akitoa salamu za rambi rambi kwa niaba ya chama chake.
 Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro Idd Juma akimkabidhi rambi rambi toka CCM mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe.

 Baadhi ya viongozi wa vyama na serikali wakiwa katika mazishi ya marehemu Grace Mbowe.
 Mwili wa marehemu ukipelekwa kaburini tayari kwa maziko.
 Waombolezaji wakijiandaa na maziko
 Watoto wa marehemu wakilia kwa uchungu.
 Jeneza likishushwa kaburini
 Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema akiteta jambo na mwanasheria Albert Msando wakati wa mazishi hayo.
 Mbunge wa jimbo la Moshi mjini akiongea na mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya IPP Reginald Mengi.

 Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu dada yake,Grace Mbowe.
 Mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya IPP Reginald Mengi akiweka shada la maua kwenye kaburi la dada wa Freeman Mbowe.
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge,William Lukuvi akiweka shada la maua kwenye kaburi la dada wa Freeman Mbowe.
 Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema akiweka shada la maua kwenye kaburi la dada wa Freeman Mbowe.
 Mbunge wa jimbo la Moshi Mjini Philemon Ndesamburo akiteta jambo na mbunge wa zamani wa jimbo la Vunjo Aloyce Kimaro (kulia) wakati wa mazishi ya dada wa Freeman Mbowe
Mwenyekiti wa makampuni ya IPP akiteta jambo na mkuu wa wilaya ya Hai Novatus Makunga aliyekuwa mfanyakazi wa ITV kabla ya kupata wadhifa wa ukuu wa wilaya. Picha zote na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii

No comments: