Monday, September 16, 2013

WAZIRI MKUU PINDA AFUNGA MAADHIMISHO YA SIKU YA MARA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikata utepe kuzindua maonyesho ya siku ya Mara yaliyofanyika Mugu wilayani Serengeti Septemba 15, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama magugu maji baada ya kufungua maonesho ya siku ya Mara kwenye uwanja wa Sokoine Mjini Mugumu, Septemba 15, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Nahodha wa Timu ya Soka ya Wnawake ya Manispa ya Musoma, Mariam Ibrahim baada ya timu yake kunyakuwa ushindi wa kwanza katika shindano ya kuadhimisha siku ya Mara, katika kilele cha maadhimisho ya siku hiyo mjiniMugumu Septemba 15,2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi kikombe na cheti, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti , Joh Ngwina (wapili kulia) baada yahalmashauri yake kunyakuwa ushindi wa kwanza wa mabanda ya maonyesho ya siku ya Mara yaliyofanyika Mugumu , Serengeti, Septemba 15, 2013. Kulia ni Naibu Waziri wa mailiasili na talii, Lazaro, Nyarandu na wapili kushoto ni Mkuuu wa Mkoa wa Mara, John Tuoa.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama moja ya silaha zilizokamatwa na askari wa Wanyamapori kutoka kwa majangiri wakati alipofungua maonyesho ya ya maadhimisho ya siku ya Mara yaliyofanyika Mugumu wilayani Serengeti Septemba 15, 2013. Kulia ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyarandu.
Watoto kutoka Kenya wakitumbuiza katika Maadhimisho ya yal kilele cha siku ya Mara yaliyofanyika mjini Mugumu wilayani Serengeti Septemba 15, 2013.

Wasanii wa kikundi cha Bonchuku cha Serengeti wakitumbuiza katika sherehe za Siku ya Mara zilizofanyika Mugumu, Serengeti, Sewptemba 15, 2013. Mgeni Rasmi alikuwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: