Friday, March 15, 2013

WENYEVITI NA MAKAMU WENYEVITI WA KAMATI ZA BUNGE


Baada ya Mhe. Spika kutangaza rasmi Orodha ya Wajumbe wapya katika kila Kamati za Kudumu za Bunge na Kwa kuzingatia kanuni ya 113 (10) ya Kanuni za Kudumu za Bunge, wajumbe wa Kamati hizo za Kudumu za Bunge walioteuliwa, wamefanya uchaguzi wa Wenyeviti na Makamau Wenyeviti. Matokeo ya Uchaguzi huo, ni kama yanavyoonekana katika jedwali hapa chini.

WENYEVITI NA MAKAMU WENYEVITI WA KAMATI ZA BUNGE

JINA  LA KAMATI
MWENYEKITI,  MAKAMU MWENYEKITI
1.
FEDHA NA UCHUMI
1.  Mhe. Mohamed Mgimwa,Mb – Mwenyekiti
2.  Mhe. Luke Paschal Kitandula.Mb-Makamu Mwenyekiti
2.
BAJETI
1. Mhe. Andrew Chenge,Mb – Mwenyekiti
2- Makamu Mwenyekiti (Uchaguzi utafanyika Jumatatu)
3.
PAC
1. Mhe. Kabwe Zitto Zuber,Mb – Mwenyekiti
2. Mhe. Deo Haule filikunjombe -Makamu Mwenyekiti
4.
LAAC
1. Mhe. Rajab Mbarouk Mohammed,Mb – Mwenyekiti
2. Mhe. Suleiman Jumanne Zedi,Mb - Makamu Mwenyekiti
5.
HUDUMA ZA JAMII
1. Mhe. Margareth S.  Sitta,Mb – Mwenyekiti
2. Mhe. Stephen Ngonyani,Mb-Makamu Mwenyekiti
6.
MAENDELEO YA JAMII
1. Mhe. Jenista Mhagama,Mb – Mwenyekiti
2. Mhe. Saidi Mohamed Mtanda,Mb-Makamu Mwenyekiti
 7.
NISHATI NA MADINI
1. Mhe. Victor Kilasile Mwambalasa,Mb – Mwenyekiti
2. Mhe. Jerome Bwanausi,Mb-Makamu Mwenyekiti
 8.
ARDHI , MALIASILI NA MAZINGIRA
1. Mhe. James Lembeli,Mb – Mwenyekiti
2. Mhe. Abdulkarim E. Shah,Mb-Makamu Mwenyekiti
 9.
MIUNDOMBINU
1. Mhe.Peter Serukamba,Mb – Mwenyekiti
2. Mhe. Prof. Juma Kapuya,Mb-Makamu Mwenyekiti
10.
TAMISEMI
1. Mhe.Hamis Andrea Kigwangalla,Mb – Mwenyekiti
2. Mhe.John Paul Lwanji,Mb-Makamu Mwenyekiti
11.
MASUALA YA UKIMWI
1. Mhe.Lediana M. Mng’ong’o,Mb – Mwenyekiti
2. Mhe.Diana M. Chilolo,Mb-Makamu Mwenyekiti
12.
ULINZI NA USALAMA
1. Mhe.Anna Margath Abdallah, Mb – Mwenyekiti
2. Mhe.Mohamed  Seif  Khatib,Mb-Makamu Mwenyekiti
13.
MAMBO YA NJE
1. Mhe.Edward N. Lowassa,Mb – Mwenyekiti
2. Mhe.Mussa  Zungu,Mb-Makamu Mwenyekiti
14.
KATIBA , SHERIA NA UTAWALA
1. Mhe.Pindi H. Chana ,Mb – Mwenyekiti
2. Mhe. William Ngeleja,Mb-Makamu Mwenyekiti
15.
MAADILI
1. Mhe.Brig. Hassan Athuman Ngwilizi, Mb – Mwenyekiti
2. Mhe.John Zephania Chilingati,Mb-Makamu Mwenyekiti
16.
KILIMO, MIFUGO NA MAJI
1. Mhe. Prof. Peter Msolwa, Mb – Mwenyekiti
2. Mhe.Said Nkumba, Mb-Makamu Mwenyekiti

Imetolewa na:
Idara ya Habari, Elimu kwa Umma na Uhusiano wa Kimataifa.
Ofisi ya Bunge
DAR ES SALAAM

No comments: