Sunday, July 8, 2012

Rais Kikwete alipotembelea banda la Chuo Kikuu cha Dar es salaam katika maonesho ya Kimataifa ya Biashara July 6, 2012

 Rais Jakaya Kikwete akiangalia picha za watu mashuhuri waliowahi kusoma Chuo Kikuu cha Dar es salaam siku alipotembelea banda la chuo hicho kikongwe nchini na kujionea mambo mbalimbali na kutoa ushauri. Zifuatazo ni taswira mbalimbali wakati wa ziara hiyo Julai 6, 2012

































1 comment:

Anonymous said...

Kwakweli Banda la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam linatia aibu kwani hata display yenyewe tu ni mbaya imekaa ovyo ovyo tu. Kwanini mwaka huu wasiboreshe? Ningeomba nimpe ushauri Vice-Chancellor aangalie namna ya kuboresha. Jamani hiki ni Chuo Kikuu mama leo kimekaa shakara bagala.

Jipangeni upya.