Wednesday, July 4, 2012

NSSF YAPATA TUZO MBILI KATIKA MAONYEHO YA SABASABA

Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya zanzibar, Balozi Seif Ali Idi akito hotuba yake katika ufunguzi wa Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa Barabra ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Pili wa Rais wa Seriakli ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Balozi Seif Ali Idi akifungua rasmi Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa maafufu kama sabasaba.
Makamu wa Pili wa Rais wa Seriakli ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Balozi Seif Ali Idi akimkabidhi cheti pamoja na tuzo Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk Ramadhan Dau baada ya kuibuka washindi wa jumla katika Maonyesho ya 36 ya Biashara ya Kimataifa Jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka wa TANTRADE, Samuel Mvingira akizungumza wakati wa ufunguzi wa Maonyesho ya 36 ya Biashara ya Kimataifa katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Viwanda Biashara na Masoko, Dk Abdallah Kigoda akizungumza katika hafla hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk Ramadhan Dau akiongea na Waandishi wa Habari muda mfupi baada ya kukabidhiwa tuzo na cheti cha Ushindi wa Jumla katika maonyesho ya 30 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk Ramadhan Dau akiwa pamoja na Maafisa wengine wa NSSF wakifuatilia Hotuba ya Ufunguzi wa Maonyesho hayo.
Maafisa wa NSSF wakifuatilia hotuba ya mgeni Rasmi.
Maafisa wa NSSF wakiwa kwenye Banda lao.
Huduma zikiendelea kutolewa.

No comments: