Monday, May 7, 2012

RAIS KIKWETE AWAAPISHA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais Jakaya Kikwete akipeana mikono na Waziri wa Fedha Dr. William Mgimwa, baada ya kumuapisha wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Ndg. Adam Malima, kuwa Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Ndg. Amos Makalla, kuwa Naibu Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Ndg. George Simbachawene, kuwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Eng. Christopher Chiza, kuwa Waziri wa Kilimo,Chakula na Ushirika wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Dk. Fenella Mukangala, kuwa Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Ndg. Khamis Kaghasheki, kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Dk. Hussein Mwinyi kuwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Ndg. Janeth Mbene kuwa Naibu Waziri Fedha wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Ndg. January Makamba, kuwa Naibu Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Ndg. Angela Kairuki, kuwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Ndg. Lazaro Nyarandu, kuwa Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Ndg. Charles Kitwanga kuwa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Dk. Harisson Mwakyembe, kuwa Waziri wa Uchukuzi wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Ndg. Shamsi Vuai Nahodha, kuwa Waziri wa Ulinzi wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo
Picha ya pamoja.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akisalimiana na George Simbachawene, kwenye Viwanja vya Ikulu baada ya kuapishwa kuwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini, leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja ya kumbukumbu na Mawaziri wa Ofisi yake baada ya kuapishwa Mawaziri wapya wakati wa hafla fupi ya kuwaapishwa mawaziri iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es salaam leo. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samia Suluhu, Wa pili (Kulia) ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Terezya Huvisa na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais,aliyeteuliwa wiki iliyopita na kuapishwa leo, Charles Kitwanga 'Mawe Matatu'.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akisalimiana na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja, baada ya hafla ya kuapishwa Mawaziri wapya walioteuliwa wiki iliyopita. Hafla hiyo ya kuwaapisha ilifanyika leo.katika Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

No comments: