Tuesday, May 15, 2012

Aqdi za Maharusi Jumaa Ibn Mohamed Hussein na Naseem Bint Midladjy Maez

  Aqdi za Maharusi Jumaa Ibn Mohamed Hussein na Naseem Bint Midladjy Maez, Aqdi ilifungwa Msikiti wa Ngazija baada ya Salat L'Inshai, na hafla fupi kufanyika nyumbani kwao Bibi Harusi Ohio BL D 6  kata ya Kivukoni jijini Dar es Salaam. Pichani juu Mzee Midladjy Maez akimwomba idhini Bint yake Naseem ya kufungwa Aqdi
 Mzee Maez akihitimisha ahadi ya Ndoa kwa maneno " Nimekuozesha Binti yangu kwa mahari mliyokubaliana..! Mkono wa pongezi kwa Bwana Harusi Jumaa Mohamed Hussein
 Mkono wa kheri 
 Maulid Nabii  Ohio BL D kunogesha Aqdi ya Jumaa na Naseem
 Maulid Nabii  Ohio BL D ya Aqdi ya Jumaa na Naseem
 Mawaidha kutoka kwa Babu wa Bibi Harusi Alhaj Mohamed Mitoso akiwa garini!
 Wazaa chema wakitoa mawaidha
 Maharusi furahani
 Picha ya ukumbusho ya Baba na Mama na Maharusi na wapambe wa
Waalikwa kibao

1 comment:

Chemi Che-Mponda said...

She looks like a Princess! Hongera!