Saturday, April 7, 2012

Mazishi ya Inspekta Jenerali wa Polisi Mstaafu Harun Mahundi leo jijini Dar es salaam

 Mazishi ya Inspekta Jenerali wa Polisi Mstaafu Harun Mahundi leo katika makaburi ya Kiondoni jijini Dar es salaam
 Sehemu ya umati wa waombolezaji uliohudhuria mazishi hayo
 Mchungaji akiongoza ibada ya mazishi

 Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dar es salaam Afande Suleiman Kova akisimamia shughuli hiyo
 Jeneza likishushwa kaburini
 Mazishi

 Binti wa Marehemu akiweka udongo kaburini
 Mkwe wa Marehemu Bw Maabady akiweka udongo kaburini
 Gadi ya heshima
 Mtoto wa Marehemu akiweka udongo
 Mtoto mkubwa wa Marehemu akiweka udongo
Bibi akiweka udongo kaburini
 Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiweka udongo kaburini
 Mama Sitti Mwinyi akiweka udongo kaburini
 Waziri wa Mambo ya Ndani Mh Shamsi Vuai Nahodha akiweka udongo kaburini
 Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani akiweka udongo kaburini
 Jaji Mkuu Mh Mohamed Chande Othman akiweka udongo kaburini
 Katibu Mkuu Kiongozi Mh Ombeni Sefue akiweka udongo Kaburini
 Inspekta Jenerali wa Polisi Afande Saidi Mwema akiweka udongo kaburini
 Heshima kwa Inspekta Jenerali Mstaafu Harun Mahundi
 Bw Rashid Othman akiweka udongo kaburini
 Mama akiweka Udongo kaburini
 Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Afande Abdulrahman Shimbo akiweka udongo kaburini
 Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Werema akiweka udongo kaburini
 Inspekta Jenerali Mkuu wa Polisi Mstaafu Omar Mahita akiweka udongo kaburini
 Mwakilishi wa Law Chambers akiweka udongo kaburini
 Mwakilishi wa Grumeti Game Reserve akiweka udongo Kaburini
 Waziri Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti Mteule wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Sinde Warioba akiweka udongo Kaburini
 Rais wa Chama cha Tanganyika Law Society akiweka udongo kaburini
 Saluti kwa afande
 Sehemu ya umati wa waombolezaji
 Kwaya ikiimba mapambio
 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar es salaam Afande Suleiman Kova akisoma wasifu wa marehemu
 Sehemu ya familia mazishini
 Wanafamilia
 Wanafamilia
Viongozi wa kitaifa mazishini

No comments: